hapo mwishon hio sentensi sio shurtia bali ni sahili.................Very interesting...
Tanzania tuli-take advantage gani ya kiintelijensia kwa jamaa kuwa Mtanzania mwenzetu??
Maana mwanya kama huo akiupata Kagame, hatafanya kosa.
bunge hili la ndugai na yule mwana dada? au bunge jingine la JAMHURI YA WAKANDA?Kwa ufaransa baba yake Sarkozy ni mhungary na alizaliwa Hungary ila Sarkozy alizaliwa Paris na amekuwa rais
Mgombea urais mwaka 2012 Eva joly ni MNorway alizaliwa Norway na ana uraia pacha wa Norway na Ufaransa lakini usalama wa Taifa ulimruhusu na aligombea urais
..turudi Nyumbani tuseme rais asili ya mababu zake si wazawa halisi na tuseme anatumiwa na ana nia ovu kamwe hatoweza kutekeleza sababu amezungukwa na wazawa kila mahala na idara yote wazawa lukuki nani atakubali nchi yake inasalitiwa anyamaze tuseme mmoja ,wawili wameuchuna hivi 100 ,300 wengine watanyamaza wote ?
Rais akionekana ana hujumu kupitia mikataba bunge lipo lina mu-impeach ,idara ipo na wapo kitambo kwenye system na rais hawezi kupenyeza wakubwa na wakongwe na maafisa wengine wazawa wapo hivyo ni impossible
Marais wanakuja na kuondoka Tiss ipo kabla na itakuwepo wamefanya kazi na marais waliotangulia na atayekuja ,hivyo usidhani wanaona usaliti watanyamazia hapana..napinga 100% wakiona ujinga nyaraka zinaachiwa bungeni anakuwa impeached na kushtakiwa ..vigumu na haiwezekani
Kwa ufaransa baba yake Sarkozy ni mhungary na alizaliwa Hungary ila Sarkozy alizaliwa Paris na amekuwa rais
Mgombea urais mwaka 2012 Eva joly ni MNorway alizaliwa Norway na ana uraia pacha wa Norway na Ufaransa lakini usalama wa Taifa ulimruhusu na aligombea urais
..turudi Nyumbani tuseme rais asili ya mababu zake si wazawa halisi na tuseme anatumiwa na ana nia ovu kamwe hatoweza kutekeleza sababu amezungukwa na wazawa kila mahala na idara yote wazawa lukuki nani atakubali nchi yake inasalitiwa anyamaze tuseme mmoja ,wawili wameuchuna hivi 100 ,300 wengine watanyamaza wote ?
Rais akionekana ana hujumu kupitia mikataba bunge lipo lina mu-impeach ,idara ipo na wapo kitambo kwenye system na rais hawezi kupenyeza wakubwa na wakongwe na maafisa wengine wazawa wapo hivyo ni impossible
Marais wanakuja na kuondoka Tiss ipo kabla na itakuwepo wamefanya kazi na marais waliotangulia na atayekuja ,hivyo usidhani wanaona usaliti watanyamazia hapana..napinga 100% wakiona ujinga nyaraka zinaachiwa bungeni anakuwa impeached na kushtakiwa ..vigumu na haiwezekani
Hapana Katto ni home boy wangu!. Makaburi ya yule wa nchale!.Kaburi la kato???
who originated from Chief Jumbe’s area in the current Mambwe District, settled in Mpika and socialised with Sata’s parents who also originated from Mbeya, Tanzania. KK has constructed a mansion near the banks of Lutembwe River in Malambo. The reason why KK’s son Kaweche wants to stand in Malambo on PF’s ticket in the hope that he would garner votes of sympathy from his late mother’s tribe the Kunda. Yet the author is being economical with the truth. In 1947, Sata entered Katibunga Seminary for a year. Records show that he was moved to another Catechists school called Kantensha in Isoka close to the Tanzanian border where he spent three years from 1948 to 1951...... Source: Michael Sata's Life history from 1937 to 1973
mnyamwezi
Pasco niunge kwenye group lako la whatsapp, ili nipate shuhudia ukiwa una left group.Haya makaburi ya kwetu yaache kwa kweli.Tusifukue makaburi ya watu, ya kwetu yakifukuliwa humu kuna watu mtabaki midomo wazi!.
P.
UMENIFIKISHA MAHALI FULANI NIFIKIRI NA KUCHIMBA ZAID ILI NIUNGANISHE DOTI ZAIDIVery interesting...
Tanzania tuli-take advantage gani ya kiintelijensia kwa jamaa kuwa Mtanzania mwenzetu??
Maana mwanya kama huo akiupata Kagame, hatafanya kosa.
Nasikia yule si wa kwetu kabisa na mara kwa mara amekuwa akivuka zake mto Ruvuma kuwajoin ndg zake wa kipande ile. Pasco hebu funguka kidogo japo hata kwa code tuHapana Katto ni home boy wangu!. Makaburi ya yule wa nchale!.
P
umenikumbusha ya Mange na Rais wetu: Waafrica hutunakazi ya kufanya hivyo tunaendelea kuamua kutoendelea, wamarekani hawahoji uraia wa Barak Obama amabye History yake iko wazi, siss tunawinda na kupika history lakini hatusemi faida ya mawindo hayo. Poor weTusifukue makaburi ya watu, ya kwetu yakifukuliwa humu kuna watu mtabaki midomo wazi!.
P.
Nissan Nyeupe!.Nasikia yule si wa kwetu kabisa na mara kwa mara amekuwa akivuka zake mto Ruvuma kuwajoin ndg zake wa kipande ile. Pasco hebu funguka kidogo japo hata kwa code tu
Hofu, tumezoea kutafuta sababu za kila kufeli kwetuumenikumbusha ya Mange na Rais wetu: Waafrica hutunakazi ya kufanya hivyo tunaendelea kuamua kutoendelea, wamarekani hawahoji uraia wa Barak Obama amabye History yake iko wazi, siss tunawinda na kupika history lakini hatusemi faida ya mawindo hayo. Poor we
Mnyakyusa wa Ibililo .uko Tabora mmemsingiziaKaka nakubaliana na wewe ukishakuaa na katiba nzuri hata zero brain anaweza kuwa Rais , si unaona hata South Africa katiba inavyowabeba
Nyerere kabla hajafariki aliongelea Sana katiba alisema mna bahati watanzania mimi na hata aliyenifuatia hajaitumia katiba vibaya , katiba yenu mbovu Akija Rais Mbaya anaweza kuwa Mungu mtu
Suala la katiba hata BARAZA LA MAASKOFU Wamegusia juzi
Na kuna kitu lazima hata Ndugu zangu ccm wawe Makini
Hakuna taasisi ilivyokua inamtetea Huyu kwa miaka yote hii mitatu kama TEC
WAO wana Siri Kubwa na ni vigumu Sana kumuunga mtu mkono lakini pia ni wagumu Sana kubadilika uamuzi na ni wavumilivu ni ajabu sana kama at last wameamua kutoa tamko rasmi kumpinga
Mnyakyusa wa Ibililo .uko Tabora mmemsingizia[/
ZAMBIA SECURITY INTELLIGENCE SERVICE
Wakafanyaa Yaoooooooooooo