Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bunge hilihili au? Labda bunge la Kenya au South AfricaKwa ufaransa baba yake Sarkozy ni mhungary na alizaliwa Hungary ila Sarkozy alizaliwa Paris na amekuwa rais
Mgombea urais mwaka 2012 Eva joly ni MNorway alizaliwa Norway na ana uraia pacha wa Norway na Ufaransa lakini usalama wa Taifa ulimruhusu na aligombea urais
..turudi Nyumbani tuseme rais asili ya mababu zake si wazawa halisi na tuseme anatumiwa na ana nia ovu kamwe hatoweza kutekeleza sababu amezungukwa na wazawa kila mahala na idara yote wazawa lukuki nani atakubali nchi yake inasalitiwa anyamaze tuseme mmoja ,wawili wameuchuna hivi 100 ,300 wengine watanyamaza wote ?
Rais akionekana ana hujumu kupitia mikataba bunge lipo lina mu-impeach ,idara ipo na wapo kitambo kwenye system na rais hawezi kupenyeza wakubwa na wakongwe na maafisa wengine wazawa wapo hivyo ni impossible
Marais wanakuja na kuondoka Tiss ipo kabla na itakuwepo wamefanya kazi na marais waliotangulia na atayekuja ,hivyo usidhani wanaona usaliti watanyamazia hapana..napinga 100% wakiona ujinga nyaraka zinaachiwa bungeni anakuwa impeached na kushtakiwa ..vigumu na haiwezekani
Sure??[emoji15] [emoji15] [emoji30] [emoji30] [emoji30]Ndio maana viongozi wengi Wasio na uhalali kazi yao ya kwanza wakiiingia ni kudhoofisha intelligence na jeshi .. kwa njia kama limiting recruitment , training , financing , rolling stock weakening etc kwa sababu kiapo chao ni dhidi ya Adui yeyote wa nchi au msaliti wao hawamwamini yeyote
Mfumo wa intelugensia unatoka Roma ya kale ambao wao hata Pope akizungua wanamalizana naye au wanasema ni mgonjwa anakaaa pembeni on medical ground ... nation comes first .
Kwa mfumo wa Sasa Vatican Inadhibiti hadi White House ... FBI, cia and national security advisers since September 11
Wakuu wote wa hizo organs ni Jesuit trainers cops
Wakati mwingine nnajiulizaga why nchi yetu isiwe na katiba kama zao maana itarahisisha mengi sana. Maana hii style ya kila kiongozi kuja na maono yake haisaidii sana taifa maana mambo mengi yanaishai kati tuAmerica Is a no mans land ni mfumo tofauti alafu wao Rais wa nchi hawezi kubadili kitu kila kitu kinaamualiwa na system wanasema he is simply American spokes person ... hana uwezo wa kubadili watumishi CIA , Pentagon’s , federal reserve au popote hadi aletewe na akishatangaza waende hearing Bungeni live
Wao hata mimi au wewe wanakupa tu
Ila ukienda nchi zenye wenyewe kama UK GERMAN FRANCE CHINA RUSSIA etc wanasema lazima kizazi chako kiwe na miaka 300 yaaani you must trace four generation in your family line of both parents If you want high office ukiacha I waziri wa kawaida hiyo haina neno ila top ndio issue
Kwani hasa USA ni ya akina nani? Mi nafikiri na kujua kuwa USA wote ikiacha wale wahindi Wekundu wengine wote ni immigrantsUSA wameongozwa na rais mwenye asili ya Kenya
Marais wenye asili ya ujerumani 2 ,asili ya kidachi 3
Ina maana CIA walikuwa hawajui na ukizingatia USA ni Taifa kubwa lenye maadui lukuki unlike shithole countries
[emoji23] [emoji23] third world countries wana matatizo sana .....huku magu akipigiwa saluti na wanajeshi
Mwenyekiti wa chama cha mapinduzi,amiri jeshi mkuu .....na kabla ya kuwa rais alikuwa mwana usalama pia na waziri ..social media militants mna matatizo sana
Madiwani na wabunge kila kukicha wanajiuzulu kumsapoti foreigner [emoji23] [emoji23] [emoji23] na mwaka 2020 anapita kwa kishindo [emoji23] [emoji23]