Conspiracy theories-Hizi ni kweli?

uchwara

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2013
Posts
438
Reaction score
135
Miaka ya mwanzoni wa 1990s ilikuwa na matukio fulani,kwa sababu hatukuwa na social networks ilikuwa ni vigumu
kujadili unjamvini.

1.Kwamba Kitwana Kondo (aliyekuwa Meya wa Jiji)alimpa Mzee Rukhsa binti yake,sijui kama girlfriend au mke!!!
Je binti huyu alikuwa nani?Yuko wapi,bado ana uhusiano na Mzee Rukhsa.Kipindi kile ,bongo kuliuwa na utani wa kumwita Mzee Rukhsa shemeji hasa vijana wa sekondari kutokana na uhusiano na huyu binti wa KK

2.Malecela alikwenda Iran,wakati wa kutaka kugombea Urais ,na kubadilisha jina lake kuwa Jumanne,ali apate hela za uchaguzi.Nyerere alimwita Malecela muhuni,kwa sababu kama hizi.

Hebu mnaojua data hizi mwageni,ili kizazi kipya kielewa tulipotoka
 

ngoja tuwaombe akina Nguruvi3, Mag3 Mzee Mwanakijiji pamoja na wazee wengine wa jf waje watusaidie kwasababu sisi tulikua ni vijana wadogo kipindi hicho
 
Last edited by a moderator:
Eti niliskia kipindi nyerere karibia astaafu urais alimwita mzee mwinyi,akamwambia katika huu mkutano wa kamati kuu mi takupendekeza chama kikupigie kura wee LAKINI we ukatae kwamba hutaki kushika wadhifa wa rais!
Kumbe malecela (baba mobimbo )alikuwa kabana sehem anaskiliza,nyerere alivyotoka tu akamfata mzee ruksa akamwambia acha undezi wee usikatae ukifika pale ukiulizwa kwamba uko tayari kubali!
Mzee ruksa akakubali nyerere akamaindi kiaina maana alikuwa ameshachagua mtu wake
 
Hii ni Chai Mkuu,Nyerere kama alidhamiria asingeshindwa kubadili gia angani.
 
Hiyo namba mbili nikweli. Mtu ana badili jina ili apewe msaada anaweza kuiuza nchi. Watu walipata taalifa mzee ana ng'atuka wakaanza mipango mapema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…