Miaka ya mwanzoni wa 1990s ilikuwa na matukio fulani,kwa sababu hatukuwa na social networks ilikuwa ni vigumu
kujadili unjamvini.
1.Kwamba Kitwana Kondo (aliyekuwa Meya wa Jiji)alimpa Mzee Rukhsa binti yake,sijui kama girlfriend au mke!!!
Je binti huyu alikuwa nani?Yuko wapi,bado ana uhusiano na Mzee Rukhsa.Kipindi kile ,bongo kuliuwa na utani wa kumwita Mzee Rukhsa shemeji hasa vijana wa sekondari kutokana na uhusiano na huyu binti wa KK
2.Malecela alikwenda Iran,wakati wa kutaka kugombea Urais ,na kubadilisha jina lake kuwa Jumanne,ali apate hela za uchaguzi.Nyerere alimwita Malecela muhuni,kwa sababu kama hizi.
Hebu mnaojua data hizi mwageni,ili kizazi kipya kielewa tulipotoka