Septem
JF-Expert Member
- Feb 14, 2018
- 313
- 404
Mkuu yapo mambo ukiwa sio mshiriki unaweza ukahisi ni siasa tu. Ukisikia kuna udini/mfumo 'jizuz'/upendeleo kwa kina 'mohamad' au kuna kiukanda, au ukabila, usibishe kwanza, take your time kuchunguza. Mambo yanavyoendeshwa ni so covertly.
Nikikupa mfano wa biashara hasa kwa uhakika wangu-kanda ya 'viktoria' ndugu zetu wa 'kule ulipo mlima mrefu kabisa' wamehodhi sekta ya biashara sana. Kiasi kwamba hata ukiwa unajitanua vipo vikwazo sana na ukichunguza sana kuna 'vivuli' ambavyo ukiviangalia kwa 'jicho la 3' vinatoka kule 'mlimani'. Ogopa sana hv vikundi vya kikabila katika 'mkoa wa ugenini'. Wengne wako kutafuta hela, sio kudumisha ngoma.