Tetesi: Conspiracy Theories: TRA na Ukadiriaji Kodi wa Kukomoana na Ukabila

Mkuu yapo mambo ukiwa sio mshiriki unaweza ukahisi ni siasa tu. Ukisikia kuna udini/mfumo 'jizuz'/upendeleo kwa kina 'mohamad' au kuna kiukanda, au ukabila, usibishe kwanza, take your time kuchunguza. Mambo yanavyoendeshwa ni so covertly.
Nikikupa mfano wa biashara hasa kwa uhakika wangu-kanda ya 'viktoria' ndugu zetu wa 'kule ulipo mlima mrefu kabisa' wamehodhi sekta ya biashara sana. Kiasi kwamba hata ukiwa unajitanua vipo vikwazo sana na ukichunguza sana kuna 'vivuli' ambavyo ukiviangalia kwa 'jicho la 3' vinatoka kule 'mlimani'. Ogopa sana hv vikundi vya kikabila katika 'mkoa wa ugenini'. Wengne wako kutafuta hela, sio kudumisha ngoma.
 
Mh! Ubaguzi unazidi kushamiri nchini THANKS to dhalimu DU na genge lake.

 
Haya matatizo ya kujibu bila kuelewa yataisha lini? Unadhani TRA wanakadiria kama unauhakika na hesabu zako? maana kisheria inatakiwa ukatwe kulingana na mapato yako. Usipokua na hesabu sahihi unawapa mwanya wa kuja kuleta huo ukabila unaousema. Huko kubishana na ukweli ndio shida zetu. Kama wanakadiria ovyo dawa sio kuja kuropoka hapa ni kuzuia wasikadirie biashara yako. na ili kuzuia wasikadirie ni kuwa na hesabu sahihi kila wakati. Na kwa taarifa yako sijasoma Huko mzumbe wala Arusha unakojua wewe.
 
Unapomfungia mtu biashara unafikiri atakulipaje?

Ova
 
Hilo ni neno. Lakini je, nani mwenye jukumu la kuelimisha uwekaji kumbukumbu ili kodi ikusanywe kiuhalisia? Kumbuka,siyo wafanyabiashara wameelimika kivile.
 
Akashia ndo wanajua mziki wa kodi
 
🙂🙂🙂🙂
acha nicheke tu mana hakuna namna mbuzi awezi kucheza mziki hata uimbe ujikakamue au ujambe
 
Wananiacha hoi tu pale wanapojushauri ufunge biashara badala ya kukishauri njia nzuri ya kuondokana na huo mkwamo, nadhan huko vyuoni kuna somo la kumshauri mteja afunge biashara, halaf tra wote wana vitabia vinavofanana
wanamkwamisha mzee kipara kwa makusudi akija kustuka kapigwa za chembe
 
Haya malalamiko hayakuwepo kipindi cha miaka ya nyuma kabla ya JPM, ina maana TIARAEI walikuwa wanakadria vipi hizo kodi miaka hiyo na sasa wanafanyaje?
 
Sasa ni kitu gani kinakufanya ukeshe kusifia serikali humu? We kijana mshamba sana!
 
Jamaa wewe unafikiri mzira nkende hayo anayajua kweli au ?
 
Huku kwetu ukiendaa wanakukadiria kodi kubwa bilaa kuangalia mauzo yako ukilalamikaa unaambiwa kwa sauti kubwa SIULIPIGA KURA MWENYEWE huwezi funga biasharaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
U
Haya malalamiko hayakuwepo kipindi cha miaka ya nyuma kabla ya JPM, ina maana TIARAEI walikuwa wanakadria vipi hizo kodi miaka hiyo na sasa wanafanyaje?
Una uhakika? malalamiko yamezidi tu ila hata kabla yake yalikuwepo sana. Mitaa ninayoishi tulikua tunafunga maduka kila tusikia TRA wanapita na hiyo ilikua 2009 -2013
 
Sasa ni kitu gani kinakufanya ukeshe kusifia serikali humu? We kijana mshamba sana!
Mkuu, punguza povu hilo. Penye kutakiwa kusemwa ukweli lazima usemwe, penye jema lenye kustahili kuungwa mkono nitaunga mkono.
 
Mkuu, punguza povu hilo. Penye kutakiwa kusemwa ukweli lazima usemwe, penye jema lenye kustahili kuungwa mkono nitaunga mkono.
Huna lolote we Mnyambi ukweli mnaujua kuwa huyo mshamba na limbukeni nchi imemshinda
 

Huu ukadiriaji unatoa mwanya mkubwa sana tena sana wa rushwa.
 
Sio tetesi hii ni kweli kabisa. Mfano wachaga awamu hii wana kazi kwelikweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…