Construction of Kenol-Isiolo dual road

Construction of Kenol-Isiolo dual road

Ukweli ni kwamba majirani zetu Wakenya wamejenga barabara na zinatumika haswa sisi tunafurahia Ukubwa una barabara ikishapita Mabasi mawili na Lori moja Siku imeisha.
Inabidi tukijenga tufungue na Uchumi
 
Hajui kutoka kenya to india ni km 8000km
Usituone sisi ni wajinga ulivyo mjinga. ingekuwa ni flying distance wangeweka hizo zigzag? Kitu cha Kwanza wangeweka mfano wa ndege kwenye hiyo ramani kisha njia ingekuwa straight from one end to the other or just a little curvy. 12,000 kms is almost the radius of the African continent. Peleka ujinga mbali
 
Back
Top Bottom