Usituone sisi ni wajinga ulivyo mjinga. ingekuwa ni flying distance wangeweka hizo zigzag? Kitu cha Kwanza wangeweka mfano wa ndege kwenye hiyo ramani kisha njia ingekuwa straight from one end to the other or just a little curvy. 12,000 kms is almost the radius of the African continent. Peleka ujinga mbali