View attachment 758039
Vipi mmefikia wapi ile kitu YENYU (sijui inaitwaje jina) ambayo mmeandika ONLY BRT!?
Tupeni updates.
hapa nitafute kile kitabu changu kidogo cha form one english- kiswahili nitaelewa vizuri
😀😀😀😀 mabasi ni mazito!😀😀😀😀 achaga utani kwenye mambo serious!Kwanza barabara ya BRT chini inatangulia zege(concrete) then unaweza weka juu rami au ukaacha. Concrete inatumika kwasababu mabasi ni mazito.