th3think3r
Member
- Mar 24, 2013
- 97
- 37
Dude, chillax.. you are drifting away..i
Its not about pavement stupid. I meant concrete whch is a mixture of STEEL and MOTAR
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dude, chillax.. you are drifting away..i
Its not about pavement stupid. I meant concrete whch is a mixture of STEEL and MOTAR
Ha ha ha ebu niambie yaaani kama pale mbezi 2way ya upande mmoja waandike BRT au inakuwaje, ni kweli jam la nairobi limezidi sana.Vituko indeed brt ya kuchora na rangi loh!
Kama brt zote zingekuwa hivyo mbona kila siku magu angekuwa anazindua tu ma brt mapya
Mjomba check pictures on comment #4 and #5. Pls stop acting like a stupid dimwit. You don't belong there.Can u see any bricks/on those picsmimi sioni shida hapo...hata BRT za ulaya ziko ivo tu na stations zimejengwa ,kenya tuko na barabara mzuri so kutenga part moja ya road sioni kosa,ama mlitaka ijengwe kama ile ya tz ambazo lanes zimezungukwa na tofali !!!
Goodmorning my lovely brother from another motherRudisha ushamba Tanzania.
Kutokuwepo bricks hakufanyi isiitwe BRT.hizo huwa zinawekwa kupunguza muingiliano hasa kwa madereva wa Kiafrika kwa kuwa huwa hawafati utaratibu hivyo unawalzamisha wasiingilie BRT kwa kuweka bricks ila kama madereva ni waelewa hakuna haja ya kuweka Bricks mistari tu inatosha.Mjomba check pictures on comment #4 and #5. Pls stop acting like a stupid dimwit. You don't belong there.Can u see any bricks/on those pics
Kenya stuff is not BRT but a dedication of an express lane though wondering where will be bus stops? I see juakali mentality over their approach.Ili ujue wapo sawa au laah ni lazima ujue nini hasa lengo la BRT ukiondoa mbwembwe za vituo.
Lengo kubwa la BRT ni kuharakisha usafiri kwa kupunguza muda wa msafiri kuwa njiani.Na hiyo huwa inafanyika kwa kupunguza muingiliano wa magari yanaoyonyoosha katika barabara na yanayokatiza barabara.Hii huwa inafanyika kwa kupunguza access ya magari yanayotoka pembeni na kuingia barabara kuu(BRT).
Kujenga kama Dar au kuchora kama kenya inategemea na miundombinu iliyokuepo mwanzo kwa kuwa inatakiwa iweze kua-accomodate magari yote.Kwa Dar ilikuwa lazima wajenge upya hasa nature ya barabara iliyokuepo kwa kuwa BRT ipo sana favoured na barabara iliyojengwa kwa zege kwa kuwa huwa kunakuwa na high repeatation ya magari kupita na pale ilikuepo flexible pavement.So Dar kujenga vile hakufanyi Kenya kutokuwa sahihi kujenga vile.
Hapo mngesema mmetenga baadhi ya barabara na siyo kusema sijui Colombia kumefanyaje.mimi sioni shida hapo...hata BRT za ulaya ziko ivo tu na stations zimejengwa ,kenya tuko na barabara mzuri so kutenga part moja ya road sioni kosa,ama mlitaka ijengwe kama ile ya tz ambazo lanes zimezungukwa na tofali !!!
[emoji16][emoji16][emoji16].Sijaiona ilivyo by the way sipo Kenya ila yawezekana upo sahihi kuwa ni express way hasa kama hakuna miundombinu itakayopunguza mtu kukaa kituoni muda mrefu.lakini lengo lao la kullpunguza kukaa kwenye foleni si litafanikiwa?Kenya stuff is not BRT but a dedication of an express lane though wondering where will be bus stops? I see juakali mentality on their approach.
Wame label vizuri duhHivi brt ya Kenya imejengwa au imechorwa?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji13] [emoji13] [emoji13] only cost paints[emoji13] [emoji13] [emoji13]
haaaaaa we jamaa wewe??kwa hiyo jamaa wanaweza kula ugali kwa picha ya samaki?.Hizi ndizo akili za Jubilee. Hata Chakula ikipungua wanachukua kalamu na karasi wanachora Miti ya matunda na mahindi
BRT is a complete organised system of public transport, well researched, designed and its own system of management, hakuna ubabaishaji katika hilo, ni lazima ukidhi vigezo vyote muhimu, sio kuchagua kipi utekeleze na kipi usitekeleze, ukishindwa kukidhi vigezo hupaswi kuita BRT, kuna system nyingi tu za peblic transportation mijini, kama Tram, SBS, dedicated lanes, zote lengo ni kusafirisha watu haraka, lakini sio BRT.Kutokuwepo bricks hakufanyi isiitwe BRT.hizo huwa zinawekwa kupunguza muingiliano hasa kwa madereva wa Kiafrika kwa kuwa huwa hawafati utaratibu hivyo unawalzamisha wasiingilie BRT kwa kuweka bricks ila kama madereva ni waelewa hakuna haja ya kuweka Bricks mistari tu inatosha.
You are right Mr.I think wat they are doing there its just a sample of BRt projectYou are the one who don't understand any thing, that's why even you call your primitive flyovers interchange after hearing that Tanzania is going to have three levels interchange. BRT is a world wide known public system of transportation, it has its own standard, just visit any country with BRT will see the same design. BRT needs well organised country to have it, thats why not many countries though would wish to have but don't have so far, it is very expensive also. Kenya will not be able to have it in near future, just continue drawing those lines on your roads and lebel BRT, then celebrate your nonsense achievements, stupid country.
duh!!brt ya kuchora??what a https://jamii.app/JFUserGuide??Wimbo wa wana Dar is slum eti ooh tuko na brt,brt tumeizima kabisa.
Mtatuambia yepi kwa sasa manake yote mloyasema kuhusu brt ni ulimbukeni,BRT nairobi ndio murua kabisa Africa nzima!
Nairobi hoyeeee!!!
Tena sema THE LONGEST sio kama kale kenu ka kilomita ishirini...More than quadruple hako kenu TENA on different Highways in Nairobi.
We have dethroned you and taken what is rightfully ours in record time.
Ahaaa haaa haaa
Utapandia wapi wakati haina bus stops wala ticketing facilities.
CC: mulisaaa Mwasiti anajiandaa na hafla ya UZINGUZI wa modernised BRT.
Toa sababu yakutumia zege !! Asphalt inatumika kwenye top layer kama inavyo fanywa kwenye viwanja vya ndege vya ndege kubwaHapana. Sio kweli. Unaweza tumia Asphalt concrete (lami) ambayo ni flexible pavement au ukatumia rigid pavement ambayo ni zege. Yote haya inategemea na consultation done na oesa iliyopo. Zikifanywa kwa ubira.. zote zinafaa.. kuna sababu kwanini inatumika zege ila sio hiyo uliyotaja
Drifting away from what ? Hakuna unalojuaDude, chillax.. you are drifting away..