Nyamagondo
JF-Expert Member
- Mar 28, 2018
- 648
- 765
HeheheeeLDC...hebu Google hio halafu unitag ukielewa maana yake na pia uangalie kama utapata likiwa na uhusiano wowote na Kenya.
Jamaa mna vituko nyie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HeheheeeLDC...hebu Google hio halafu unitag ukielewa maana yake na pia uangalie kama utapata likiwa na uhusiano wowote na Kenya.
LDC...hebu Google hio halafu unitag ukielewa maana yake na pia uangalie kama utapata likiwa na uhusiano wowote na Kenya.
Ulimalizika Jana na tukawapiku Mara hiyo hiyo kuwa na the longest and most modern BRT in East and Central Africa.Mzee wa BRT lini UZINGUZI nije kusherehekea?
Ulimalizika Jana na tukawapiku Mara hiyo hiyo kuwa na the longest and most modern BRT in East and Central Africa.Mzee wa BRT lini UZINGUZI nije kusherehekea?
Ulimalizika Jana na tukawapiku Mara hiyo hiyo kuwa na the longest and most modern BRT in East and Central Africa.
😀 😀 😀 waisome number ama namna gani? 😀Ulimalizika Jana na tukawapiku Mara hiyo hiyo kuwa na the longest and most modern BRT in East and Central Africa.
haki nimecheka sana.mimi sioni shida hapo...hata BRT za ulaya ziko ivo tu na stations zimejengwa ,kenya tuko na barabara mzuri so kutenga part moja ya road sioni kosa,ama mlitaka ijengwe kama ile ya tz ambazo lanes zimezungukwa na tofali !!!
jamaa anajua kuwanyoosha wakenyaWimbo wenyu wa BRT umekwisha...now cums the longest in East and Central Africa.😉😉😉
[emoji13] [emoji13] [emoji13] only cost paints[emoji13] [emoji13] [emoji13]As a quantity surveyor, I'm very shocked that in Kenya the BRT project only costs paints that read "BRT only".
Tuna wasaidieni kupigia kelele GoK hata hiyo brt feki msingejengewa kama siyo kelele zetu watz wa jf viongozi wenu Kenya sikuizi wamejazana jf kutizama mwenendo wa mambo baina ya tz na kenya hata sisi tusinge jenga sgr ya Umeme kama siyo malumbano na vision za hapa jf wakenya shukuruni sana jf maana serikali yenu haikua na mpango wa kuwajengea brt hata hiyo ya kuchoraHahaha......hii ni aibu sasa,afadhali wangeacha tuishi bila hiyo brt kama aibu zemefikia hapa.lakini pia na nyinyi wa bongolala mkiona mwenzenu ana tatizo lazima mmuanike namna hii?
Hiyo ya Kenya siyo BRT ni SBSJinyonge buda
![]()
Tena sema THE LONGEST sio kama kale kenu ka kilomita ishirini...More than quadruple hako kenu TENA on different Highways in Nairobi.Ahaaa haaa haaa ila wewe AKILI YAKO ni BOX tupu. Yaani kuandika vile ONLY BRT ndo mmemaliza.
Upuuzi ndo maana brt yatz ilichukua tunzo ona hiyo picha hata line za michoro zimepinda pinda cheki hiyo line nyeupe ilivyo pinda sijui mjinga gani kajenga hiyo brtWapi Kingo hapa?
![]()
BRT, SBS, CCM ama BJP hapana tambua bora ya Kenya ndio the best Ukanda huu.Hiyo ya Kenya siyo BRT ni SBS
Hiyo siyo BRT ni SBS kwanini jubilii inadanganya wakenya wangeandika SBS ONLY kisha wangesema wanajiandaa kujenga brt msinge aibikaThese are the renders.
Barbara kama Thika road, is wide enough, inaweza support BRT bila kuongeza lane. Wakenya msiwasikilize hawa malimbukeni, kama ingetangazwa kunahitajik project nyengine ya kupanua thika road kuongeza BRT ingemaanisha luhamisha nyumba za watu, ujenzi kutoka Nairobi hadi thika, hio Inge cost mabilioni ya pesa, watz hawahawa wangekuja hapa wakicheka tunaliwa pesa za bure
YView attachment 735947
Lakini ukiangalia Mombasa road, render yake inaonyesha kutahitajika kuongezwa miundombinu kadhaa
View attachment 735952
Rudisha ushamba Tanzania.Upuuzi ndo maana brt yatz ilichukua tunzo ona hiyo picha hata line za michoro zimepinda pinda cheki hiyo line nyeupe ilivyo pinda sijui mjinga gani kajenga hiyo brt
Relathieves [emoji23][emoji23][emoji23]Tell him that the first phase which is only 21Km long costs $300M, the same as our terminal three JNIA which will be the biggest and ultra modern airport in East and Central Africa with exception of Bole airport in Ethiopia, if there is ulternative way of having BRT without spending money, then Magufuli would be the first person to implement, not Uhuru Kenyatta who is surrounded by his relathieves.
Hapana. Sio kweli. Unaweza tumia Asphalt concrete (lami) ambayo ni flexible pavement au ukatumia rigid pavement ambayo ni zege. Yote haya inategemea na consultation done na oesa iliyopo. Zikifanywa kwa ubira.. zote zinafaa.. kuna sababu kwanini inatumika zege ila sio hiyo uliyotajaKwanza barabara ya BRT chini inatangulia zege(concrete) then unaweza weka juu rami au ukaacha. Concrete inatumika kwasababu mabasi ni mazito.