Construction of Nairobi BRT has started. Real the best in Africa

Construction of Nairobi BRT has started. Real the best in Africa

Kenyans should feel sorry for this rubbish their gvt tries to do.
Tanzania will soon unveil the second and third phases of BRT construction going to Mbagala and Gongo la Mboto.
Otherwise, Kenyans should never compare their themselves to the south brothers.
 
Vitu vingine unaishia kucheka tu
ila nibora watengeneze chahovyo wao
Sisi wakitutangulia kitu
huwa tunatengeneza Bora kuliko wao
Ila wao sikuzote nikutengeneza cha hovyo kuliko chetu
ONLY BRT
 
Naona umekuwa na hasira.
Post yako ina acknowledge Kenyan BRT is the best. Labda hukusudia kuweleweka hivo, lakini ulivyo andika ianaashiria kinyume na nibkwa sababu kuelewa kimombo inawapiga chenga. Elimu yenu ni duni mno kiasi kwamba ni vigumu mtu kuamini kuna chuo kikuu hata moja Tz.
 
Vitu vingine unaishia kucheka tu
ila nibora watengeneze chahovyo wao
Sisi wakitutangulia kitu
huwa tunatengeneza Bora kuliko wao
Ila wao sikuzote nikutengeneza cha hovyo kuliko chetu
ONLY BRT
Mikenya mijanja sana, Wametengeneza BRT bila kutumia hela tena Ndefu zaidi ya Kilomita hamsini na kuipiku Tz in just a single day. Patia Nyang'au heshima zake. Tanzania will forever be in our shadows.
 
You are such a liar. But not even a bright one, You think kenya operates without a budget? and that any money can come out of Treasury without going through IFMS..Danganya toto
Do you run IFMIS?

In the mean time....
Phase 1 : Nairobi commuter rail. Rehabilitate existing line which is about 100km within Nairobi metro ,remodel old stations

Current progress
DQ_Q03VWkAAlAZL.jpg
ov28lxbl.jpg
2CrQu1Cl.jpg

Phase 2, purchase modern locos, build 20 stations blah blah blah

Phase 3, extend the line to new routes, build new stations
 
Attachments

  • ov28lxbl.jpg
    ov28lxbl.jpg
    38.5 KB · Views: 29
  • DQ_Q03VWkAAlAZL.jpg
    DQ_Q03VWkAAlAZL.jpg
    262.1 KB · Views: 28
  • 2CrQu1Cl.jpg
    2CrQu1Cl.jpg
    38.6 KB · Views: 33
Do you run IFMIS?

In the mean time....
Phase 1 : Nairobi commuter rail. Rehabilitate existing line which is about 100km within Nairobi metro ,remodel old stations

Current progress
View attachment 736332 View attachment 736333 View attachment 736334

Phase 2, purchase modern locos, build 20 stations blah blah blah

Phase 3, extend the line to new routes, build new stations
You are mis-representing facts, This is the old railway and maitenance has always been going on over the years.
Atleast the syokimau one we know which contractor was given and the budgetary allocation done and approved in parliament.
These other stories you purport to give here are low key maitenance projects. Commuter train construction is not petty cash spending. It must go through a bill in parliament and pass through IFMS
 
You are the one who don't understand any thing, that's why even you call your primitive flyovers interchange after hearing that Tanzania is going to have three levels interchange. BRT is a world wide known public system of transportation, it has its own standard, just visit any country with BRT will see the same design. BRT needs well organised country to have it, thats why not many countries though would wish to have but don't have so far, it is very expensive also. Kenya will not be able to have it in near future, just continue drawing those lines on your roads and lebel BRT, then celebrate your nonsense achievements, stupid country.
you killed bro.
 
Do you run IFMIS?

In the mean time....
Phase 1 : Nairobi commuter rail. Rehabilitate existing line which is about 100km within Nairobi metro ,remodel old stations

Current progress
View attachment 736332 View attachment 736333 View attachment 736334

Phase 2, purchase modern locos, build 20 stations blah blah blah

Phase 3, extend the line to new routes, build new stations
Acha vituko, usizidi kutuchekesha tulicheka sana jana, ninyi mnaonekana kituko duniani, mnadhani kujenga light railway au BRT ni mchezo?, Kama mlishindwa kupata $600M kwa ajili ya green field terminal, mradi ambau rais alikwisha launch kwa shangwe lakini ukautiliwa mbali, mtapata wapi $1.5B ya light railway train au $1.2B ya BRT, endeleeni kuagiza kopo za rangi toka Bogota mchore hizo barabara, that is the best you can do.
 
Post yako ina acknowledge Kenyan BRT is the best. Labda hukusudia kuweleweka hivo, lakini ulivyo andika ianaashiria kinyume na nibkwa sababu kuelewa kimombo inawapiga chenga. Elimu yenu ni duni mno kiasi kwamba ni vigumu mtu kuamini kuna chuo kikuu hata moja Tz.
Hivi kwa Kenya kufahamu sana Kiingereza ndo ishara ya kupiga sana vidato ee!?
Sasa kama na Kiingereza chenu hata kuotesha ulezi hamjui njaa inawakung'uta na sisi na kiswahili chetu tunaotesha ulezi tunakula tunashiba, nani mjanja?
 
BRT ya kisasa imewatia kiwewe wana dar is slum hehe,
mtakoma ule wimbo wenu wa kila siku brt brt brt.TUMEWAKABA KOO ni kinyongo tu Hahaha
 
picha ulizoweka zinakusuta..unataka kutuambia kwenye picha ulizoweka hujaona kwamba barabara za BRT zimewekewa kingo. Stupid Nyang'au
Ebu onyesha yenye kingo katika nilizoweka! Pamoja ni kuniita nyang'au, sitashuka kwenye kiwango chako. Ninaishi hizo picha zilipopigwa. Napanda hayo mabasi unayoona, na natumia hizo barabra kila siku.
 
Hivi kwa Kenya kufahamu sana Kiingereza ndo ishara ya kupiga sana vidato ee!?
Sasa kama na Kiingereza chenu hata kuotesha ulezi hamjui njaa inawakung'uta na sisi na kiswahili chetu tunaotesha ulezi tunakula tunashiba, nani mjanja?
LDC...hebu Google hio halafu unitag ukielewa maana yake na pia uangalie kama utapata likiwa na uhusiano wowote na Kenya.
 
Back
Top Bottom