Construction of Nairobi BRT has started. Real the best in Africa

yani mumechelewwa sana tena sana alaf mbaya zaidi imewakuta kipindi kibaya sana huku uchumi umeyumba madeni mpaka matakoni😀😀😀😀😀😀
Hua inafurahisha sana mki assume Kenya inaanguka.

BRT yenu mlijengewa na pesa za world bank,

2. Hivi unajua kua drop-off, pick up station za LRT zinajengwa sahii tunavyoongea kupitia rehabilitation ya MGR , by next year probably kutakua na light rail Nairobi nzima, we kama halo uki assume hatuna LA kufanya

39222258431_51862b9b71_h.jpg
kWyaa2kl.jpg
DkKhNsDl.jpg
 
mimi sioni shida hapo...hata BRT za ulaya ziko ivo tu na stations zimejengwa ,kenya tuko na barabara mzuri so kutenga part moja ya road sioni kosa,ama mlitaka ijengwe kama ile ya tz ambazo lanes zimezungukwa na tofali !!!
Ulaya ipi??
 
Hua inafurahisha sana mki assume Kenya inaanguka.

BRT yenu mlijengewa na pesa za world bank,

2. Hivi unajua kua drop-off, pick up station za LRT zinajengwa sahii tunavyoongea kupitia rehabilitation ya MGR , by next year probably kutakua na light rail Nairobi nzima, we kama halo uki assume hatuna LA kufanya

View attachment 736085 View attachment 736086 View attachment 736087
Hahahahahahahahaha, acha kutuchekesha leo please, jana tulicheka sana hadi mbavu zinauma, leo acha tupumzika kidogo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Since we have established previously that you are a certified liar, Bring us to attention the budget allocation for light rail in nairobi for year 2017/2018 from either the National Gvt or County Gvt
 
Mulicheka wapi huko? mtekerenyaji alikua ni nani?

Thika road is the busiest road in East and Central Africa, it has upwards of 100, 000 vehicles per day, Did you know that?
 
Since we have established previously that you are a certified liar, Bring us to attention the budget allocation for light rail in nairobi for year 2017/2018 from either the National Gvt or County Gvt
mtu unaoneshwapicha za ujenzi (Actual construction), we bado unaulizia bajeti! huhuhu always a step behind in the opposite direction
 
Hua inafurahisha sana mki assume Kenya inaanguka.

BRT yenu mlijengewa na pesa za world bank,

2. Hivi unajua kua drop-off, pick up station za LRT zinajengwa sahii tunavyoongea kupitia rehabilitation ya MGR , by next year probably kutakua na light rail Nairobi nzima, we kama halo uki assume hatuna LA kufanya

View attachment 736085 View attachment 736086 View attachment 736087
Mkimaliza vituo mnatafuta rangi mnachora rail then boom!! LIGHT RAIL in Nairobi best in Africa [emoji28]
 
Hivi na mabasi yatakuwa ya rangi ya pink? Just asking
tapatalk_1523012321329.jpeg
 
Hivi na mabasi yatakuwa ya rangi ya pink? Just askingView attachment 736123
Hata buses zitakuwa za kuchora, sina uhakika kama wanayo rangi nyingi ya pink kwa ajili ya kuchora buses, hiyo lami inahitaji rangi nyingi sana, hiyo ni sababu moja inayofanya mradi wa BRT wa Kenya kuwa ghali zaidi ya ule wa Tanzania, rangi ni bei juu, inatoka Colombia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom