The government of Kenya through the Kenya Urban Roads Authority (KURA) has begun the process of constructing two overpasses and a series of road interchanges linking Upper Hill to the Nairobi Central Business District (CBD).
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nairobi is changing for real. Anyone mwenye ameenda ushago,akirudi after 3 years atapotea njia juu hatajua yuko wapi.Kumbuka kuna nyinginye itajengwa tena around Aprill apo by the japanese apo railways karibu na TUK, tender ilishatolewa na itakua moto sana.
![]()
Kura floats tender to build Haile Selassie overpass
News,Gossip,Sports and Entertainment from Nairobi.nairobinews.nation.co.ke
2020-2025 Hata hapa Dar kuna mambo mazuri yaja kua mpole kijana...Kha! Halafu nimekawia bila kwenda hayo maeneo ya Upperhill na kuna uwezekano mwaka utapita kabla sijaenda, hebu waza nitakavyokenua meno kuona dubwasha lote hili limeibuka na linatumika ilhali sikuliacha, naona nikigeuza geuza gari kwenda na kurudi ili kufurahia utamu wake.
Kwa wenzetu wa kusini naomba niwape mfano wa nini kinajengwa hapa, watu wa Dar hebu hapo mlipo muwaze barabara ya juu imejengwa kutokea Usalama kule Magomeni, ikakatiza Jangwani pale kwa Yanga na kushukia kituo cha Fire.
2020-2025 Hata hapa Dar kuna mambo mazuri yaja kua mpole kijana...
Sijafuatilia ya Kampala ila wakilala Watajikuta wenyewe ndio Chawa
😂 😂 😂Huna adabu
Hahaha wewe mtaalamu wa kiswahili hata kunizidi hujaweza unga dots tu apo ..Kua chawa ni kua miyeyusho mvuruga mambo ...tabia ya Chawa ni kunyonya damu huyu ni yule halisia (louse )Hilo neno chawa naona mnalitumia sana siku hizi, sijajua maana yake mtaani isitokee nilitumie siku moja bila kujua niishie kuchekwa, kama kipindi naingia Bongo nikiwa mgeni, nilikua natumia mtandao wa Tigo ukazingua nikajikuta nasema "leo Tigo yangu inasumbua".....vijana nusra wapasuke mbavu zao wakinicheka.
Nikirejea kwenye mada, leo hii mambo yanayofanyika Mombasa itabidi muwe makini sana maana naona mkipitwa mchana.....
Juzi nimetazama video fulani ya Kisumu nikabaki kinywa wazi, nchi hii pembe zote ni mwendo kasi tu.
Okey kuhusu Mombasa mimi naona ni sahihi kupaendeleza ni mji muhimu sana...Hilo neno chawa naona mnalitumia sana siku hizi, sijajua maana yake mtaani isitokee nilitumie siku moja bila kujua niishie kuchekwa, kama kipindi naingia Bongo nikiwa mgeni, nilikua natumia mtandao wa Tigo ukazingua nikajikuta nasema "leo Tigo yangu inasumbua".....vijana nusra wapasuke mbavu zao wakinicheka.
Nikirejea kwenye mada, leo hii mambo yanayofanyika Mombasa itabidi muwe makini sana maana naona mkipitwa mchana.....
Juzi nimetazama video fulani ya Kisumu nikabaki kinywa wazi, nchi hii pembe zote ni mwendo kasi tu.
Hahaha wewe mtaalamu wa kiswahili hata kunizidi hujaweza unga dots tu apo ..Kua chawa ni kua miyeyusho mvuruga mambo ...tabia ya Chawa ni kunyonya damu huyu ni yule halisia (louse )
Yeye ni chawa ndio...maana mambo yake hayaendi bila mond. ..Kwa namna mnavyotumia hilo neno siku hizi, inawezekana mumeongeza maana nyingine, kwa mfano nilitazama video ya yule msanii wa Kigoma huitwa baba Levo, alikua akimsifia bosi wake Diamond huku akijisema kwamba yeye ni chawa kwa Diamond, nikawa sielewi yaani umsifie bosi wako huku ukijiita chawa kwa huyo huyo bosi.....
Kwa namna fulani chawa lina maana chanya...
Sawa broMiradi kama hii kwa nchi za kiafrika mingi ni white elephants. Ni mtindo wa watawala kujipigia pesa kuliko kuleta maendeleo.
Hizo michoro za ramani na animations huwa sio halisi sana, zinaweza kuvutia machoni lakini zikishajengwa zinakuwa kituko au kitu cha kawaida sana.
hahaha.. haujui unachosema. Wacha sisi tunao tumia hii barabara ikiwa na foleni tufurahie white elephnat tukifika nyumbani mapema baada ya kujengwa.Miradi kama hii kwa nchi za kiafrika mingi ni white elephants. Ni mtindo wa watawala kujipigia pesa kuliko kuleta maendeleo.
Hizo michoro za ramani na animations huwa sio halisi sana, zinaweza kuvutia machoni lakini zikishajengwa zinakuwa kituko au kitu cha kawaida sana.