Construction of new overpasses(Upperhill viaduct) in Nairobi gathers momentum

Construction of new overpasses(Upperhill viaduct) in Nairobi gathers momentum

Man, Nairobi is crazy. I can't even keep up with the projects myself yet mimi hufuatilia projects sana. This city is on another level.
By end of 2022 Kenya itakua level ingine in infrastructure, roads construction all over, Mombasa will be [emoji91][emoji91][emoji91]., Kisumu pia itakua juu., Road works zitakua zimeisha., na projects za Prof. Nyong'o., Eldy bypass zote will be done., Kericho, Lamu, Turkana to Juba...boss ni mob! Ata kama tunateta jubilee govt wamekula pia wame deliver.
 
Kha! Halafu nimekawia bila kwenda hayo maeneo ya Upperhill na kuna uwezekano mwaka utapita kabla sijaenda, hebu waza nitakavyokenua meno kuona dubwasha lote hili limeibuka na linatumika ilhali sikuliacha, naona nikigeuza geuza gari kwenda na kurudi ili kufurahia utamu wake.

Kwa wenzetu wa kusini naomba niwape mfano wa nini kinajengwa hapa, watu wa Dar hebu hapo mlipo muwaze barabara ya juu imejengwa kutokea Usalama kule Magomeni, ikakatiza Jangwani pale kwa Yanga na kushukia kituo cha Fire.
Kwi kwi kwi, nyang'au punguza misifa au we muhaya wa ke?
 
Back
Top Bottom