Construction of Outering Thika Highway exchange in Kenya begins.

Kama ingekuwa bongo ndo wanajenga kitu Kama hii hapa ndani hakungekalika.
 
Hio interchange wala haipo Kenya wanachukua picha tu wanabandika kujifrahisha

Utanitia wazimu niamue kesho kwena hapo nipige picha kabisa, sio mbali na ninakoishi aisei Kenya ya leo imekua Ulaya, mtaanza kuchanganyikiwa hivi.
 
Hawa kina madenge hawajaamini macho yao. Ingekuwa ni wao wanajenga vitu kama hivi wangejisifuuu. Alafu kama kawaida wangewaringia wananchi wenzao kutoka upinzani, utadhani chadema chimbuko lao ni Ushelisheli.
 
Wangekuwa wakimsifia Magu.Ati kiongizi Bora zaidi Africa...hahaa
 
Hawa kina madenge hawajaamini macho yao. Ingekuwa ni wao wanajenga vitu kama hivi wangejisifuuu. Alafu kama kawaida wangewaringia wananchi wenzao kutoka upinzani, utadhani chadema chimbuko lao ni Ushelisheli.

Ndio kitu huwa sielewi kwa MaCCM, yaani chochote kizuri kwenye nchi wanatambia Chadema mpaka wanasababisha uzalendo unashuka kwa wenzao.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]wao huona maendeleo ni ya ccm pekekake
Hawa kina madenge hawajaamini macho yao. Ingekuwa ni wao wanajenga vitu kama hivi wangejisifuuu. Alafu kama kawaida wangewaringia wananchi wenzao kutoka upinzani, utadhani chadema chimbuko lao ni Ushelisheli.
 
Utanitia wazimu niamue kesho kwena hapo nipige picha kabisa, sio mbali na ninakoishi aisei Kenya ya leo imekua Ulaya, mtaanza kuchanganyikiwa hivi.
Weka picha zake sasa tunajua nyie no wezi tu
 
Na bado, hio ni moja tu kuna zile zishajengwa kitambo na zingine zitajengwa. Dar kuna hata flyover?

Kuna moja Japan iliwajengea kama msaada, huwa wanakwenda kuishangaa kama kivutio cha watalii.
 
Moja kali kuliko zote mlizonazo,ubungo interchange ndio mtahema vizur
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…