Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hio interchange wala haipo Kenya wanachukua picha tu wanabandika kujifrahishaKama ingekuwa bongo ndo wanajenga kitu Kama hii hapa ndani hakungekalika.
Hio interchange wala haipo Kenya wanachukua picha tu wanabandika kujifrahisha
Hawa kina madenge hawajaamini macho yao. Ingekuwa ni wao wanajenga vitu kama hivi wangejisifuuu. Alafu kama kawaida wangewaringia wananchi wenzao kutoka upinzani, utadhani chadema chimbuko lao ni Ushelisheli.Utanitia wazimu niamue kesho kwena hapo nipige picha kabisa, sio mbali na ninakoishi aisei Kenya ya leo imekua Ulaya, mtaanza kuchanganyikiwa hivi.
Wangekuwa wakimsifia Magu.Ati kiongizi Bora zaidi Africa...hahaaHawa kina madenge hawajaamini macho yao. Ingekuwa ni wao wanajenga vitu kama hivi wangejisifuuu. Alafu kama kawaida wangewaringia wananchi wenzao kutoka upinzani, utadhani chadema chimbuko lao ni Ushelisheli.
Hawa kina madenge hawajaamini macho yao. Ingekuwa ni wao wanajenga vitu kama hivi wangejisifuuu. Alafu kama kawaida wangewaringia wananchi wenzao kutoka upinzani, utadhani chadema chimbuko lao ni Ushelisheli.
Hawa kina madenge hawajaamini macho yao. Ingekuwa ni wao wanajenga vitu kama hivi wangejisifuuu. Alafu kama kawaida wangewaringia wananchi wenzao kutoka upinzani, utadhani chadema chimbuko lao ni Ushelisheli.
Hio interchange wala haipo Kenya wanachukua picha tu wanabandika kujifrahisha
Naona unaumia kweli kweli.....Hapa kazi tuuWakora mmetoa wapi Hii? [emoji23] [emoji23]
Weka picha zake sasa tunajua nyie no wezi tuUtanitia wazimu niamue kesho kwena hapo nipige picha kabisa, sio mbali na ninakoishi aisei Kenya ya leo imekua Ulaya, mtaanza kuchanganyikiwa hivi.
Na bado, hio ni moja tu kuna zile zishajengwa kitambo na zingine zitajengwa. Dar kuna hata flyover?Weka picha zake sasa tunajua nyie no wezi tu
Na bado, hio ni moja tu kuna zile zishajengwa kitambo na zingine zitajengwa. Dar kuna hata flyover?
Moja kali kuliko zote mlizonazo,ubungo interchange ndio mtahema vizurKuna moja Japan iliwajengea kama msaada, huwa wanakwenda kuishangaa kama kivutio cha watalii.
Tunakila kitu hapa kasoro kawangwareNa bado, hio ni moja tu kuna zile zishajengwa kitambo na zingine zitajengwa. Dar kuna hata flyover?
Pwahahahaa.Acha cha mamaMoja kali kuliko zote mlizonazo,ubungo interchange ndio mtahema vizur
unataka picha au video kabisa?2 years bado hatuja ona ubongo flyover
Nionyeshe flyover mbili Dar...najua inje ya dar hamna hata mojaTunakila kitu hapa kasoro kawangware
Flyover moja tu $45M izo Ni sawa na km ngap za 2lanes road? Priority ziendane na uwezoNionyeshe flyover mbili Dar...najua inje ya dar hamna hata moja
Kweli bro, sisi tunao uwezo.Flyover moja tu $45M izo Ni sawa na km ngap za 2lanes road? Priority ziendane na uwezo