Contact lenses kama mbadala wa miwani

Contact lenses kama mbadala wa miwani

George Betram

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2015
Posts
4,672
Reaction score
6,272
Heshima kwenu wanajukwaa..!
Ni muda mrefu sana nimekua nikitumia miwani ya macho...
Kwasasa ninafikiria kuanza kutumia contact lenses,kwasababu matumizi ya miwani kuna wakati yananipa changamoto za utendaji katika mihangaiko yangu ya hapa na pale...
Ni wapi ninaweza kupata huduma ya contact lenses kwa mkoa wa Dar es Salaam..?
Hapa namaanisha mtaalamu ambaye atanifanyia vipimo ili kujua ni contact lenses za namna gani napaswa kutumia na mahali ambapo naweza kuzipata hizo contact lenses..!
Pia ni vyema nikafahamu na gharama zake..!
Natanguliza shukurani..!!!
 
Back
Top Bottom