Zamazamani
JF-Expert Member
- Jun 13, 2008
- 1,869
- 787
Jamani naomba contacts za watu wa power breakfast hasa Bonge kuna jambo muhimu la kujenga nchi nataka liruke hewani maana siku hizi kazi haziendi bila uozo kurushwa hewani , na najua mtindo huu umesaidia sana hasa hapa town....
thanx mkuu..........0786 884000
no! Hii ni namba yangu plz!!0786 884000
----we sikia......hakuna idara husika iliyo serious....jamaa zangu wameshakwenda kote huko bila mafanikio........mimi mwenyewe siipendi clouds ila kile kipindi cha asubuhi kina wanyooshaga washenzi washenzi(ni kipindi pekee ninachosikiliza)....sababu nimeshuhudia mwenyewe mara nyingi wakisharushwa hewani baada ya siku mbili tatu kinaeleweka!!!we nawe unatafuta kuifanya clouds kama radio moja kuuubwa,uozo huo hata ukienda kwa idara husika moja kwa moja ukawaambia itatauliwa tu, mathalani kama ni inshu inahusu jiji, wizara ya ujenzi, afya nk, acha longo longo!
nipe namba ya Zembwela piaKwani bonge pekee yake ndo anaweza hebu mtafute ZEMBWELA E.A RADIO uone atakavyo ropoka.
Usikariri.......njini shule!