Contacts za bonge wa power breakfast

Contacts za bonge wa power breakfast

Zamazamani

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2008
Posts
1,869
Reaction score
787
Jamani naomba contacts za watu wa power breakfast hasa Bonge kuna jambo muhimu la kujenga nchi nataka liruke hewani maana siku hizi kazi haziendi bila uozo kurushwa hewani , na najua mtindo huu umesaidia sana hasa hapa town....
 
Bonge ndo mnyama gani?
 
Jamani naombeni contacts za watu wa kipindi cha Power breakfast cha Clouds fm kuna uozo nataka kuuanika hewani...maana kwa mtindo huu tunasogea kidogo...
 
we nawe unatafuta kuifanya clouds kama radio moja kuuubwa,uozo huo hata ukienda kwa idara husika moja kwa moja ukawaambia itatauliwa tu, mathalani kama ni inshu inahusu jiji, wizara ya ujenzi, afya nk, acha longo longo!
 
----we sikia......hakuna idara husika iliyo serious....jamaa zangu wameshakwenda kote huko bila mafanikio........mimi mwenyewe siipendi clouds ila kile kipindi cha asubuhi kina wanyooshaga washenzi washenzi(ni kipindi pekee ninachosikiliza)....sababu nimeshuhudia mwenyewe mara nyingi wakisharushwa hewani baada ya siku mbili tatu kinaeleweka!!!
 
Kwani bonge pekee yake ndo anaweza hebu mtafute ZEMBWELA E.A RADIO uone atakavyo ropoka.
Usikariri.......njini shule!
 
Back
Top Bottom