Containers nyingi zinazoletwa Tanzania zina urefu wa maximum 40ft, wala siyo zaidi ya hapo.Shipping container zipo za sizes tofauti kuanzia
60ft
View attachment 3121333
53ft
View attachment 3121336
48ftView attachment 3121370
45ftView attachment 3121373
43ftView attachment 3121374
40ft
View attachment 3121377
35ft
View attachment 3121385
20ft
View attachment 3121381
15ft
View attachment 3121378
10ftView attachment 3121382
7ft
View attachment 3121383
Swali langu jee, Container za angalau 45ft bongo zinafika? Kama ndio, napata wapi? kama hazifiki inaweza kuwepo option ya kuagiza, jee kuna semi trailer truck zenye chassis ndefu size hio ili kulibeba? Wapi napata?
Zipo huwa naziona zimepakia mabomba makubwa sana marefu ya kijani kama 6 hiviShipping container zipo za sizes tofauti kuanzia
60ft
View attachment 3121333
53ft
View attachment 3121336
48ftView attachment 3121370
45ftView attachment 3121373
43ftView attachment 3121374
40ft
View attachment 3121377
35ft
View attachment 3121385
20ft
View attachment 3121381
15ft
View attachment 3121378
10ftView attachment 3121382
7ft
View attachment 3121383
Swali langu jee, Container za angalau 45ft bongo zinafika? Kama ndio, napata wapi? kama hazifiki inaweza kuwepo option ya kuagiza, jee kuna semi trailer truck zenye chassis ndefu size hio ili kulibeba? Wapi napata?
Fanya uchunguzi vizuri mkuu.Containers nyingi zinazoletwa Tanzania zina urefu wa maximum 40ft, wala siyo zaidi ya hapo.
Aidha, hata trailers nyingi za kusafirisha hayo ma-container zina chasis zenye urefu wa juu kabisa mwisho kipimo hicho hicho cha 40ft, Wala siyo zaidi ya hapo.
NitafuatiliaFanya uchunguzi vizuri mkuu.
Hata Mimi nashangaa, utapitisha wapi hayo makasha yenye urefu huo?45 feet na wale wazee wa mizani wako wapi?
45 feet na wale wazee wa mizani wako wapi?
Mizani Si wanapima uzito wazee? Au na pia wana Futi ya kupima urefu?Nitafuatilia
Hata Mimi nashangaa, utapitisha wapi hayo makasha yenye urefu huo?
Zilikuwa na urefu gani?Nilishaonaga Container Mbili zinapitishwa Maeneo ya External, Zile HAZIWEZI Kua 40ft wala 43ft, Zilikua ndefu mno, tofauti yao ilikua noticeable bila mashaka kiasi kwamba watu walikuepo waliona sio kawaida..
Ni kweli kwamba mizani wanapima uzito, lakini hata Askari Polisi wa Usalama wa Barabarani pia nao Wana mamlaka ya kudhibiti mizigo isiyotakiwa kubebwa au kusafirishwa. Aidha, over-sized loads are not allowed to be transported, unless kwa sababu maalum, au kwa kibali maalumu tena mizigo hiyo inaposafirishwa ni LAZIMA iwekewe Mazingira maalumu ili kulinda usalama wa Barabara pamoja na watumiaji wengine wa barabara.Mizani Si wanapima uzito wazee? Au na pia wana Futi ya kupima urefu?
Mtoa mada hajazungumzia mzigo,
Labda uniambie traffic
Hizi containers zipo ila mara nyingi ni trip town hazitoki nje ya mji kwenye hizi ICDs & ECDs za karibu na Terminal utaziona hizo containers just fuatilia tu.Nitafuatilia
Hata Mimi nashangaa, utapitisha wapi hayo makasha yenye urefu huo?
Kwanza hata anuani zao tu zinaonyesha kwamba hawapo kabisa Tanzania, na wala hata hawana Branch Office hapa Tanzania. Chunguza vizuri Maelezo yao.Wazee wa kugugo tumekuja na hiyo link👇👇
"Quality 45ft Shipping Containers for sale in Tanzania- Bulk Suppliers" Quality 45ft Shipping Containers for sale in Tanzania- Bulk Suppliers
Si masharti kama ya p did tu wa uswafani.........mbeya hukoBongo zipo. Kuna mwamba anaitwa raphael logistics.. ana vifaa vya kubeba vitu virefu kuliko hizo kontena.
Hata treni za umeme SGR alizibeba yeye kutoka bandarini na kwenda kuziweka kwenye reli pugu yeye mwenyewe.
Kuna mizigo ya mashine za migodini ni ndefu kuliko hizo contena ulizozitaja. Ila mwamba raphael anazibeba mpaka geita na kahama na anazishusha bila shida.
Na hapo huyo mwamba hata la saba hajamaliza. Ila ana kampuni ya logistics inayobeba kila kitu
Nime-google tu bila ku-pay attention other factors kama wapo nchini ama la ila ukienda chini kule Quick link, unabonyeza "service area" then "Tanzania" kuna detail wanazo japokuwa ni kweli hawapo Tanzania, it seem like kuna arrangement zinafanyika za kusafirisha hizo new and used containers (long process though kuna email ya kuulizia uzuri)Kwanza hata anuani zao tu zinaonyesha kwamba hawapo kabisa Tanzania, na wala hata hawana Branch Office hapa Tanzania. Chunguza vizuri Maelezo yao.
Habari Mkuu,Shipping container zipo za sizes tofauti kuanzia
60ft
View attachment 3121333
53ft
View attachment 3121336
48ftView attachment 3121370
45ftView attachment 3121373
43ftView attachment 3121374
40ft
View attachment 3121377
35ft
View attachment 3121385
20ft
View attachment 3121381
15ft
View attachment 3121378
10ftView attachment 3121382
7ft
View attachment 3121383
Swali langu jee, Container za angalau 45ft bongo zinafika? Kama ndio, napata wapi? kama hazifiki inaweza kuwepo option ya kuagiza, jee kuna semi trailer truck zenye chassis ndefu size hio ili kulibeba? Wapi napata?
Mara chache naonaga Sem trailer imebeba container Bila shaka 40ft lakini kuna nafasi kidogo nyuma imebaki, jee ndio hayo?