dudus
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 23,782
- 54,213
Yale ni special for project ya bomba la mafuta Uganda. Huoni yanakuwa na mizigo uelekeo mmoja wa upcountry tu? Yakirudi yako matupu hayaruhusiwi kubeba mzigo mwingine wowote.Zipo huwa naziona zimepakia mabomba makubwa sana marefu ya kijani kama 6 hivi