Container za 45ft zinafika Tanzania? Je, kuna magari ya kubeba?

Zipo huwa naziona zimepakia mabomba makubwa sana marefu ya kijani kama 6 hivi
Yale ni special for project ya bomba la mafuta Uganda. Huoni yanakuwa na mizigo uelekeo mmoja wa upcountry tu? Yakirudi yako matupu hayaruhusiwi kubeba mzigo mwingine wowote.
 
Yale ni special for project ya bomba la mafuta Uganda. Huoni yanakuwa na mizigo uelekeo mmoja wa upcountry tu? Yakirudi yako matupu hayaruhusiwi kubeba mzigo mwingine wowote.
Yapo mengine yanarudi na mabomba kama hayohayo meusi ila diametre yake ni ndogo kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…