Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
Kwa ufupi huna mpya. Vuguvungu la uchaguzi ndilo linakubeba mpaka jamii inakuona una madini.
Uchaguzi ukipita hutakuwa tena na maana mbele ya Watanzania.
Tengeneza app sasa hivi walipishe hawa wajinga uliowahujumu haki zao za kidemokrasia kwa miaka zaidi ya mitano. Hii miezi 2 ukijipanga vizuri hawa watu wasahaulifu watakupa pesa nyingi. Wameshasahau tambo zako mzee wa v8.
Sijasema kuwa sasa kuko shwari ila nashangaa Watanzania wajinga kukutegea sikio Polepole ukipigania Demokrasia uliyoominya kwa miaka 5.
Nashangaa unapata wapi ujasiri wa kusimama kuzungumzia maadili huku nyie mlikuwa mnawapoka watu pesa zao. BOT wewe Sabaya na Bashite mlikuwa mna haki ya kwenda muda wowote kuzichota.
Ile miili iliyookotwa kwenye viroba kila leo enzi zenu huzungumzii kabisa