Continuing student loan application (HESLB)

Mambaenock

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2013
Posts
427
Reaction score
107
Habari zenu wana jamvi napenda kujua jinsi ya kuomba mkopo loan board na gharama zinazohitajika kwa wanafunzi wanaoendelea na masomo kwa mwaka 2014/2015.
asanteni
 
Kama uko mwaka wa 5 sawa lakini kama ni mwaka wa 2,3 au wa 4 wewe endelea na kitabu ila kama huhitaji tena mkopo ndo uwajulishe.
 
Utararatibu wa ku update mikopo umefutwa, kama sio kusitishwa! Lakini wewe utakua na matatizo kidogo. Inamaana ulikua hujapata taarifa mpaka leo? Jamani chuo kikuu sio sekondari!
 
Habari zenu wana jamvi napenda kujua jinsi ya kuomba mkopo loan board na gharama zinazohitajika kwa wanafunzi wanaoendelea na masomo kwa mwaka 2014/2015.
asanteni

uko mwaka wa ngapi? mkuu
 
Kama uko mwaka wa 5 sawa lakini kama ni mwaka wa 2,3 au wa 4 wewe endelea na kitabu ila kama huhitaji tena mkopo ndo uwajulishe.

continuing students na update mkopo bure kabisa Mkuu"!!!
 
Back
Top Bottom