continuing students waliopata mkopo!

SAMORE TOURE

Senior Member
Joined
Aug 5, 2012
Posts
116
Reaction score
9
wale mliopata mkopo saivi i mean second year....taarifa katika chuo chako zikoje....hapa UDSM naona kimya hakuna taarifa yeyote
 
Umejiulza swal mwenyewe,dadavua kinahaubaga n kip hasa wataka ambiwa
 
ni majanga tu ndugu angu!! hapa kwetu kulikuwa na rumours za kuongezewa ada kwa faculty ya Education in Mathematics lakini loan officer anataka kuzipga chini, tumekuwa wavumilivu mpaka majina ya ada yamekuja kutoka bodi yakiwa na ada mpya lakini bado anakataa kuwa yamekuja kimakosa hivo tunatakiwa kuendelea kutambua kua ada tunayolipiwa ni ile ile!!!
 
ni majanga tu ndg angu! kulikuwa na rumours za kuongezewa kwa ada kwa wale BED(MATH) lakini loan officer anakataa kuwa hatujaongezewa, tumekuwa wavumilivu mpaka majina ya ada yamekuja na yamekuja na ada mpya alkini bado anakataa kuwa yamekuja kimakosa kuwa tunatakiwa kuyasaini lakini tujue kua ada inaendelea kua ile ile!!! yani tunafanyiwa uhuni live huku tunajiona!!!!!!
 
Bado man hapa pia Mzumbe haijulikan naona wapo kimya hata haieleweki maana km ni fisadi hata wao wanastahili hilo jina haiwezekan tutume mara tatu zote bado tukose izo hela c ni bora hata ningepeleka kwa watoto yatima kuliko hawa mafedhuri
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…