SAMORE TOURE
Senior Member
- Aug 5, 2012
- 116
- 9
wale mliopata mkopo saivi i mean second year....taarifa katika chuo chako zikoje....hapa UDSM naona kimya hakuna taarifa yeyote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umejiulza swal mwenyewe,dadavua kinahaubaga n kip hasa wataka ambiwa[/QUOTEnataka kujua taarifa yeyote iliyotolewa kwenye chuo chako kwa wale waliopata mkopo sasa (wanafunzi wanaoendelea na masomo) kwa mfano inawezekana mmeambiwa mpeleke akaunt namba na taarifa zinazo husiana na hizo........