Contract wa EACOP

Contract wa EACOP

Lameckjr

Senior Member
Joined
Sep 26, 2020
Posts
133
Reaction score
247
Habari wakulungwa ,
Naomba kufahamu jina la contractors wa huu mradi wa EACOP,
Lakini pia naomba kufahamu huyu EALS naye ni nani kwenye huu mradi maana sielewin, nimejaribu kuugogle but sijapata majibu takwa,
Asanteni sana
 
Main Contractor ni Total
kama sijakosea
Mmmmh sidhani kama uliyemtaja ni contractor, huyo ni mmiliki mwenza wa mradi.
Wamiliki wengine ni serikali ya Uganda na Serikali ya Tanzania kupitia TPDC
 
Habari wakulungwa ,
Naomba kufahamu jina la contractors wa huu mradi wa EACOP,
Lakini pia naomba kufahamu huyu EALS naye ni nani kwenye huu mradi maana sielewin, nimejaribu kuugogle but sijapata majibu takwa,
Asanteni sana
EPcm Contractor ni Worley anahusika na

Engineering services
Procurement services
Construction management
Commission na assistance of start up
Project management

Worley atasaidiana na hizi local company Norplan Tanzania Limited na inter-consult

E.A.L.S
Ni muungano wa Kampuni mbili za logistics ambazo ni
1. Super Star Forwarders Company (SSF)
2. Bolloré Transport & Logistics Tanzania Ltd

Hawa watahusika na logistics zote za mradi huu

NB: Total sio Contractor ni share holder wa mradi atamiliki asilimia 62 baada ya mradi huu kuisha.
Serikali ya Tanzania na Uganda watamiliki asilimia 15 Kila nchi
Asilimia 8% zilizobaki zitamilikiwa na Kampuni ya oil and gas kutoka huko china inatambulika
CNOOC
 
Asante kwa ufafanuzi
 
kutakuwa na sub contractors wengi kuna mmoja namfahamu anaitwa ISOAF Tz LTD
 
Mwendazake na Kaguta ni wahuni kitambo tu tena wahuni wanaojuana kitambo...huo mradi hakuna kitu ni siasa tu
 
[emoji599]Apply Ajira 40000 Bomba La Mafauta 2022 – Employment Opportunity For Tanzanian In Oil Pipeline Construction EACOP
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

Jiunge [emoji116][emoji2532] t.me/ajirampya
 
Back
Top Bottom