Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmmmh sidhani kama uliyemtaja ni contractor, huyo ni mmiliki mwenza wa mradi.Main Contractor ni Total
kama sijakosea
EPcm Contractor ni Worley anahusika naHabari wakulungwa ,
Naomba kufahamu jina la contractors wa huu mradi wa EACOP,
Lakini pia naomba kufahamu huyu EALS naye ni nani kwenye huu mradi maana sielewin, nimejaribu kuugogle but sijapata majibu takwa,
Asanteni sana
Asante kwa ufafanuziEPcm Contractor ni Worley anahusika na
Engineering services
Procurement services
Construction management
Commission na assistance of start up
Project management
Worley atasaidiana na hizi local company Norplan Tanzania Limited na inter-consult
E.A.L.S
Ni muungano wa Kampuni mbili za logistics ambazo ni
1. Super Star Forwarders Company (SSF)
2. Bolloré Transport & Logistics Tanzania Ltd
Hawa watahusika na logistics zote za mradi huu
NB: Total sio Contractor ni share holder wa mradi atamiliki asilimia 62 baada ya mradi huu kuisha.
Serikali ya Tanzania na Uganda watamiliki asilimia 15 Kila nchi
Asilimia 8% zilizobaki zitamilikiwa na Kampuni ya oil and gas kutoka huko china inatambulika
CNOOC
newslinetz.com