Namshangaa bajet hupangwa kila mwaka na Kama mradi ni WA miaka 3 pesa hulipwa kutokana na muda WA mradi sio full payment mkandarasi kila anapomaliza kazi fulan hupeleka matumiz yake na kulipwa
Hii ni kuwatisha Watu wa vujiweni lakini sisi tuliopo hapa JF tunajua vizuri kuwa hamna kitakachofanyika in the next 20 or so years, however sijawakataza kuendelea kuota ndoto...mtafika tu Watu wa 1350MW na population ya 60million. 😀😀😀😀