Namshangaa bajet hupangwa kila mwaka na Kama mradi ni WA miaka 3 pesa hulipwa kutokana na muda WA mradi sio full payment mkandarasi kila anapomaliza kazi fulan hupeleka matumiz yake na kulipwaIyo ni pesa ya kuanzia mradi tu zingine zitatolewa ,aliekwambia huo mradi ni wa kujenga wki nne Ni nani?trust the process