Baba Jazey
JF-Expert Member
- Apr 14, 2016
- 500
- 556
nashukuru mkuu ila iko arushaKama upo Dar nenda Zizou Subaru Spares pale mkabala na Machinga Complex Ilala. Huwezi
kukosa.
Arusha maeneo ya Karibu na stend ya mkoa kuna duka lina spea zote za Subaru tena original.So fanya uwatembelee(wewe uliza ata boda boda watakuonyesha...Mimi nna LEGACY B4 . nakuwaga Dar na Arusha so najua wapi nipate spearnashukuru mkuu ila iko arusha
Sasa mdau naweza pata mawasiliano ya Zizou? nli nijue bei yakeSawa mkuu. Umepewa ushauri tena ushauri mwafaka. Ni juu yako kupanga na kupangua. Nina uhakika hata ukipata huko Arusha bei yake utakuja kujuta. La pili mi uhalisia wa hiyo spea. Zizou - sina hisa yeyote, utapata genuine spare iwe mpya au used. Anauza zote. Naijua Arusha vema sana.