contral arm ya subaru napata wap?

contral arm ya subaru napata wap?

Baba Jazey

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2016
Posts
500
Reaction score
556
bandugu Naomba kujua naweza pata WAP hii lower control arm ya Subaru forester TA SG5 ya kushoto Kwan yangu imekatika kichuma cha kufungia link, MTU akiweka bei sio mbays, natanguliza shukrani
 
Sawa mkuu. Umepewa ushauri tena ushauri mwafaka. Ni juu yako kupanga na kupangua. Nina uhakika hata ukipata huko Arusha bei yake utakuja kujuta. La pili mi uhalisia wa hiyo spea. Zizou - sina hisa yeyote, utapata genuine spare iwe mpya au used. Anauza zote. Naijua Arusha vema sana.
 
nashukuru mkuu ila iko arusha
Arusha maeneo ya Karibu na stend ya mkoa kuna duka lina spea zote za Subaru tena original.So fanya uwatembelee(wewe uliza ata boda boda watakuonyesha...Mimi nna LEGACY B4 . nakuwaga Dar na Arusha so najua wapi nipate spear
 
Mpigie hata simu zizou unapata spare yoyote ya subaru.. Mimi ni mteja wake na atakupa ushauri wa kiufundi endapo utahitaji kujua jambo kuhusu gari yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda kwa Denso hapo kwenye ghorofa lake kaloleni kuna duka la mwanae wanauza spare za Subaru
 
nashukuru sana kwa ushauri wenu, ila wakuu kiukweli bei yake sijui nkaona ni vizuri kujua bei mana ulienda kwa FUNDI unatandikwa vya kutosha, watu wanasema kwa dar bei Inaweza kuwa chini
 
Sawa mkuu. Umepewa ushauri tena ushauri mwafaka. Ni juu yako kupanga na kupangua. Nina uhakika hata ukipata huko Arusha bei yake utakuja kujuta. La pili mi uhalisia wa hiyo spea. Zizou - sina hisa yeyote, utapata genuine spare iwe mpya au used. Anauza zote. Naijua Arusha vema sana.
Sasa mdau naweza pata mawasiliano ya Zizou? nli nijue bei yake
 
Back
Top Bottom