Control Number imepunguza Wizi

Control Number imepunguza Wizi

and 300

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
26,398
Reaction score
36,406
Wale Vishoka mtaani na wahasibu wezi serikalini wanaisoma namba kwa vitendo. Hivi sasa mpaka Police Loss Report (Tsh. 500/=) Lazima ku-generate Control Number. Heko Awamu hii.

Hakuna janja-janja kila mtu atafikiwa.

NB:
Katika kuweka mgomo baridi wa kunyang'anywa ulaji. Watendaji wameamua kutoa huduma chini ya kiwango kupitiliza ila sawa tu Zama za pesa za bure zimekwishaaaa.
 
Wale Vishoka mtaani na wahasibu wezi serikalin wanaisoma namba kwa vitendo. Hivi sasa mpaka Police Loss Report (Tsh. 500/=) Lazima ku-generate Control Number. Heko Awamu hii.
**Hakuna janja-janja kila mtu atafikiwa.
Yaani ni mwendo wa njaa tu kwa Wahasibu siku hizi. Sema wanatabia siku hizi ya kukuzungusha malipo mpaka uwatoe.
 
Wale Vishoka mtaani na wahasibu wezi serikalin wanaisoma namba kwa vitendo. Hivi sasa mpaka Police Loss Report (Tsh. 500/=) Lazima ku-generate Control Number. Heko Awamu hii.

Hakuna janja-janja kila mtu atafikiwa.
NB:katika kuweka mgomo baridi wa kunyang'anywa ulaji. Watendaji wameamua kutoa huduma chini ya kiwango kupitiliza ila sawa tu Zama za pesa za bure zimekwishaaaa........
Nimepita Makumbusho juzi nikashangaa Sana, lami kila mtaa
 
Wale Vishoka mtaani na wahasibu wezi serikalin wanaisoma namba kwa vitendo. Hivi sasa mpaka Police Loss Report (Tsh. 500/=) Lazima ku-generate Control Number. Heko Awamu hii.

Hakuna janja-janja kila mtu atafikiwa.
NB:katika kuweka mgomo baridi wa kunyang'anywa ulaji. Watendaji wameamua kutoa huduma chini ya kiwango kupitiliza ila sawa tu Zama za pesa za bure zimekwishaaaa........
Kukusanya fedha ni nusu ya mlinganyo.

Nusu nyingine ni matumizi ya hizo fedha.

Kama ukusanyaji wa fedha unadhibitiwa, halafu mtu mmoja tu ananunua midege anavyotaka, bila bajeti, tenda ya wazi, wala ukaguzi wa vitabu, bado tuna tatizo kubwa sana.
 
Ndege za umma. Awamu nyingine hatukua na ndege na makusanyo yaliishia mifukoni mwa wajanja wachache
 
Wale Vishoka mtaani na wahasibu wezi serikalin wanaisoma namba kwa vitendo. Hivi sasa mpaka Police Loss Report (Tsh. 500/=) Lazima ku-generate Control Number. Heko Awamu hii.

Hakuna janja-janja kila mtu atafikiwa.
NB:katika kuweka mgomo baridi wa kunyang'anywa ulaji. Watendaji wameamua kutoa huduma chini ya kiwango kupitiliza ila sawa tu Zama za pesa za bure zimekwishaaaa........
Zama za pesa bure hazijaisha bali zimepumzika, wizi serikalini hautaisha milele.....
 
Ndege za umma. Awamu nyingine hatukua na ndege na makusanyo yaliishia mifukoni mwa wajanja wachache
Unaelewa kwamba bila kuwa na mpango unaweza kugharimika zaidi kwa kuwa na hizo ndege za umma kuliko fedha kuibiwa na wajanja wachache?

Unaelewa kwamba, bila ya ukaguzi wa mahesabu huwezi kusema kwamba hata sasa hivi fedha za umma haziishii mifukoni kwa wajanja wachache zaidi?
 
Kaguzi za awamu zilizopita ziliwafikisha wapi?
 
Kila wakati na zama zake Hizi zama za Block Chain Teknolojia ipo..., Ulitaka Nyerere atengeneze Control Number kwa kutumia Karai na Kupiga Ramli....

Na bado watu walitibiwa bure na kusomeshwa bure na kwa kutumia maliasili zetu chache..., kizazi hiki tunataka kuchimba kila kilichopo na kuwaachia next generation mahandaki na pollution kwenye mito na maziwa....
 
Wale Vishoka mtaani na wahasibu wezi serikalin wanaisoma namba kwa vitendo. Hivi sasa mpaka Police Loss Report (Tsh. 500/=) Lazima ku-generate Control Number. Heko Awamu hii.

Hakuna janja-janja kila mtu atafikiwa.
NB:katika kuweka mgomo baridi wa kunyang'anywa ulaji. Watendaji wameamua kutoa huduma chini ya kiwango kupitiliza ila sawa tu Zama za pesa za bure zimekwishaaaa........
Na kweli, sasa kila kitu ni Chato!
 
Back
Top Bottom