Control number kulipiwa hii imekaaje?

Control number kulipiwa hii imekaaje?

Mkuu ulibahatika mie sijawahi kufanikiwa nikilifanya hilo mwenyewe. Halafu wenyewe wanadai kuna verification flani lazma polisi wenyewe wafanye sijui.
Unatakiwa pale baada ya kulipia ile mia tano,kwenda kwenye kituo kikuu cha polisi kutoa taarifa ya kudhibitishwa kulipa,mtu wao wa it wa polisi akishakomfemu tu taarifa zako zinakuwa zimekamilika na utahitajika kwenda kwenye taasisi uliyopoteza docoment kushughulikiwa
 
Back
Top Bottom