Unatakiwa pale baada ya kulipia ile mia tano,kwenda kwenye kituo kikuu cha polisi kutoa taarifa ya kudhibitishwa kulipa,mtu wao wa it wa polisi akishakomfemu tu taarifa zako zinakuwa zimekamilika na utahitajika kwenda kwenye taasisi uliyopoteza docoment kushughulikiwa