Controversies: The best President

Controversies: The best President

Nara

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2009
Posts
1,067
Reaction score
297
According to an Indian Guru (enlighten person), a businessman and an entrepreneur is the best president that will fit to solve economic problems of the poor in developing countries.

Naunga mkono hii ideology, ila napenda kuongezea kwa ajili ya ndugu zangu wa magwanda na magamba, he/she should have a panel of scientists, engineers and lawyers of all kinds, to convert his/her skills to reality.
 
Inategemea na kiwango cha maadili. Anaweza kuwa na ujuzi wa kuongoza lakini akawa out of touch na majority na akafanya maamuzi ya kuwafaa watu wachache. Kumbuka kuwa kukua kwa uchumi wa nchi na ubora wa maisha ya watu ni vitu viwili tofauti.
 
Hiyo ndiyo New World Order,the corporates,the multinational organizations zikiongozwa na David Rockefeller,zinataka kutieka Marekani,two factions in the New World Order,the Bussinessmen vs the politicians,fighting the rest of the world who do not want the new world order.
 
Back
Top Bottom