Cooked stats from Kenya challenged

Hii thread ni kuhusu internet.nashangaa unaleta habari za GDP
post ya mwenzako Geza Ulole umeisoma??? mnafikiri hatuwajui... kadanganye washamba wenzako... ...sio wakenya
 
... refer to a post by ur fellow tanzanian Geza Ulole...wat is it talking abt if not GDP? kiingereza naona kigumu

le me CoP the title of the article
Kenya’s Internet connectivity ranked below leading economies

now show me the phrase which talk about GBP.
 
le me CoN the title of the article
Kenya’s Internet connectivity ranked below leading economies

now show me the phrase which talk about GBP.
ujinga umejaa kichwani mwako si uongo... kwa hiyo kila uzi hapa JF watu huwa hawaendi off-topic kidogo..sio? wewe bwege kabisa your excuses are very silly
 
ujinga umejaa kichwani mwako si uongo... kwa hiyo kila uzi hapa JF watu huwa hawaendi off-topic kidogo..sio? wewe bwege kabisa your excuses are very silly

off topic
mobile broadband connectivity VS GDP wewe unaona ni kitu kimoja?? ukitaka issue ya GDP anzisha Uzi wako.
you must be insane.
 
Reactions: Oii
ujinga umejaa kichwani mwako si uongo... kwa hiyo kila uzi hapa JF watu huwa hawaendi off-topic kidogo..sio? wewe bwege kabisa your excuses are very silly
Mbona unajazba? Huyo kashangaa ishu ya internet wewe unaleta habar ya GDP..hiv huon umekosea? Acha pride mkenya.kubali tu mlipika data.
 
Reactions: Oii
Mbona unajazba? Huyo kashangaa ishu ya internet wewe unaleta habar ya GDP..hiv huon umekosea? Acha pride mkenya.kubali tu mlipika data.
nimekwambia refer to Geza's post utanielewa...hayo mengine ya kupika data pelekea nyanyako mkajadili
 
nimekusamehe...elimu ndogo...naelewa hilo

ngoja nikuache na hiyo. maana elimu duni ndiyo tatizo.
kazi yako ni kuchanganya mada tu. mara sheria na katiba ni vitu viwili tofauti
na hapa unakuja na issue ya GDP badala cooked data on internet connectivity. kwa heli bana. bangi na gundi za kibera siziwezi.
 
Reactions: Oii
poa chokoraa wa Manzense
 
We kilaza,tafuta Uzi wa Geza Ulole wa "Big-time investors pump in $4.25" uone mlivyopika data za GDP.
 
Ki uhalisia Kenya ime invest kwenye internet(so many free WiFi hotspots in Nairobi hata kwenye vibaa vya uchochoroni na vituoni) na speed consistency wame2zidi Bongo ila kuongoza Afrika kwenye speed hiyo ni exageration
 
Eti cooking data? Nyie malofa hata tofauti hamjui kati ya Kenya na World Bank. Kwani hizo data ni si ni kazi ya World Bank na IMF? Shuleni ulienda kusomea ujinga Geza Ulole. Fanyeni kazi kwa bidii, kuionea Kenya wivu haitasaidia chochote!
 
Hii thread ni kuhusu internet.nashangaa unaleta habari za GDP
Kwa sababu ndiyo kitu pekee Kenya inaweza kuizidi Tanzania, hasa baada ya Uhuru kivuruga Katiba ambayo walikua wanaitumia kama kigezo cha demokrasia, Kenya ina hali ngumu sana kwa sasa ukitaka kulinganisha na Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…