Cooked stats from Kenya challenged

Cooked stats from Kenya challenged

Hii thread ni kuhusu internet.nashangaa unaleta habari za GDP
post ya mwenzako Geza Ulole umeisoma??? mnafikiri hatuwajui...
emoji23.png
emoji23.png
kadanganye washamba wenzako...
emoji23.png
emoji23.png
...sio wakenya
 
...
emoji23.png
emoji23.png
refer to a post by ur fellow tanzanian Geza Ulole...wat is it talking abt if not GDP? kiingereza naona kigumu
emoji23.png
emoji23.png

le me CoP the title of the article
Kenya’s Internet connectivity ranked below leading economies

now show me the phrase which talk about GBP.
 
le me CoN the title of the article
Kenya’s Internet connectivity ranked below leading economies

now show me the phrase which talk about GBP.
ujinga umejaa kichwani mwako si uongo...
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
kwa hiyo kila uzi hapa JF watu huwa hawaendi off-topic kidogo..sio? wewe bwege kabisa
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
your excuses are very silly

off topic
mobile broadband connectivity VS GDP wewe unaona ni kitu kimoja?? ukitaka issue ya GDP anzisha Uzi wako.
you must be insane.
 
  • Thanks
Reactions: Oii
ujinga umejaa kichwani mwako si uongo...
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
kwa hiyo kila uzi hapa JF watu huwa hawaendi off-topic kidogo..sio? wewe bwege kabisa
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
your excuses are very silly
emoji23.png
emoji23.png
Mbona unajazba? Huyo kashangaa ishu ya internet wewe unaleta habar ya GDP..hiv huon umekosea? Acha pride mkenya.kubali tu mlipika data.
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Mbona unajazba? Huyo kashangaa ishu ya internet wewe unaleta habar ya GDP..hiv huon umekosea? Acha pride mkenya.kubali tu mlipika data.
nimekwambia refer to Geza's post utanielewa...hayo mengine ya kupika data pelekea nyanyako mkajadili
emoji23.png
emoji23.png
 
nimekusamehe...elimu ndogo...naelewa hilo
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png

ngoja nikuache na hiyo. maana elimu duni ndiyo tatizo.
kazi yako ni kuchanganya mada tu. mara sheria na katiba ni vitu viwili tofauti
na hapa unakuja na issue ya GDP badala cooked data on internet connectivity. kwa heli bana. bangi na gundi za kibera siziwezi.
 
poa chokoraa wa Manzense
emoji23.png
emoji23.png
 
This thing of cooking data...where does it come from? because if it is GDP, the World Bank and IMF are responsible for GDP data...last I checked, IMF and WB are not Kenyan institutions...hivyo, sielewi mbona WB iwe ina pika data za Kenya pekee yake na sio za nchi zingine...hivi, Kenya ina relationship ipi mpaka iwe inapikiwa data na WB???
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png

all these are excuses by Tanzanians who are angry that our economic gap is getting bigger...wana kinyongo na GDP figures za Kenya...sorry neighbors but ukweli ndio huu hapa
Kenya GDP $70B (2017)
TZ GDP $47B (2017)
Kenya GDP $112B (2022)
TZ GDP 77B (2022)
View attachment 611374

emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png

my condolences to Tanzanians...sorry for your loss
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
We kilaza,tafuta Uzi wa Geza Ulole wa "Big-time investors pump in $4.25" uone mlivyopika data za GDP.
 
Ki uhalisia Kenya ime invest kwenye internet(so many free WiFi hotspots in Nairobi hata kwenye vibaa vya uchochoroni na vituoni) na speed consistency wame2zidi Bongo ila kuongoza Afrika kwenye speed hiyo ni exageration
 
Eti cooking data? Nyie malofa hata tofauti hamjui kati ya Kenya na World Bank. Kwani hizo data ni si ni kazi ya World Bank na IMF? Shuleni ulienda kusomea ujinga Geza Ulole. Fanyeni kazi kwa bidii, kuionea Kenya wivu haitasaidia chochote!
 
Hii thread ni kuhusu internet.nashangaa unaleta habari za GDP
Kwa sababu ndiyo kitu pekee Kenya inaweza kuizidi Tanzania, hasa baada ya Uhuru kivuruga Katiba ambayo walikua wanaitumia kama kigezo cha demokrasia, Kenya ina hali ngumu sana kwa sasa ukitaka kulinganisha na Tanzania
 
Back
Top Bottom