Kwa sababu ndiyo kitu pekee Kenya inaweza kuizidi Tanzania, hasa baada ya Uhuru kivuruga Katiba ambayo walikua wanaitumia kama kigezo cha demokrasia, Kenya ina hali ngumu sana kwa sasa ukitaka kulinganisha na Tanzania
Halafu sema jamaa humu walikuwa hawajakustukia, hii ishu ya mobile broadband ilikuwa imefika mahala pake ukakosa cha kujibu ukakimbilia kwenye GDP. Tunakujua sana mtani wewe ukibanwa kwenye kona karata yako ya mwisho huwa ni LDC [emoji1] [emoji1] [emoji1]