BOOS
JF-Expert Member
- Aug 8, 2017
- 219
- 198
Umesema kweli.Kwa sababu ndiyo kitu pekee Kenya inaweza kuizidi Tanzania, hasa baada ya Uhuru kivuruga Katiba ambayo walikua wanaitumia kama kigezo cha demokrasia, Kenya ina hali ngumu sana kwa sasa ukitaka kulinganisha na Tanzania