Cool James Dandu (Mtoto wa Dandu) - Biography

Jamaa alikuwaga vizuri sana nakumbuka enzi hizo nyimbo kama
Mwana Maria, Ntakupiga risasi, Sina makosa, Hellow, I Can't stop loving you, Tutarudi Kenya, nk.
 
Daah enzi hizo R.I.P mtoto wa dandu enzi hizo alishoot video na Sinta kipindi Sinta yupo juu kwa skendo kama Sepetu.
Kipindi hicho inasemekena alikuwaga anatoka na Sinta na wajanja wanadai ndiye chanzo cha ugomvi na kutengana kwa Sinta na Juma nature na hata kifo chake walidai kilikuwa cha mchongo sababu ya Sinta yaani walimfanyia kamchezo ili kummaliza
 
yan siku zote sikuwahi kujua kama ile ajali ilitokea makumbusho dar, japo nafaham kama alifariki kwa ajali hivi nini kilisababisha iyo ajali mkuu kama unafaham
Inasemekana Sir Nature ndo alienda kwa maustaadhi wakapiga dua nzito na ndumba ili kulipa kisasi baada ya Dandu kumchukua Sinta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…