Cool James Dandu (Mtoto wa Dandu) - Biography

cov_cool_james4.jpg
cov_cool_james1.jpg
 
Mshana Jr Kaka naomba tafsiri ya hii ndoto yangu ya leo usiku!

1. Nilikua na HR Manager wa Company la zamani ambalo nilishawahi fanya kazi,alikua ananiuliza kuhusu ndagu,kwamba nimpeleke wapi akapate waganga wa jadi

2. Nikaota nipo na brother wangu mmoja hivi,hua hatupatani kabisa,tupo kwenye msiba wa kaka yake na huyo brother ambaye sipatani nae kabisa, tulikua tupo kwenye chumba flan hivi,mwili wa marehemu ukiwa mle ndani,eti marehemu akawa ananyanyua mguu juu, na pia anapumua!

3. Yule HR Manager wa Company la zamani,tulikua nae pia msibani anapika msosi wa msibani! Hii Ina maana gani mkuu wa idara ya mitishamba??

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Nakumbuka Ruge alisema KTMA ni tuzo walianzisha watu watatu lakini waliamua kumuachia James sababu hawakutaka hiyo spotlight,

Sijui lina ukweli kiasi gani labda wakongwe mseme, maana wengine hizo 1990's tulikuwa tunakunywa uji wa ulezi 😁😁
 
Mshana Jr Kaka naomba tafsiri ya hii ndoto yangu ya leo usiku!

1. Nilikua na HR Manager wa Company la zamani ambalo nilishawahi fanya kazi,alikua ananiuliza kuhusu ndagu,kwamba nimpeleke wapi akapate waganga wa jadi

2. Nikaota nipo na brother wangu mmoja hivi,hua hatupatani kabisa,tupo kwenye msiba wa kaka yake na huyo brother ambaye sipatani nae kabisa, tulikua tupo kwenye chumba flan hivi,mwili wa marehemu ukiwa mle ndani,eti marehemu akawa ananyanyua mguu juu, na pia anapumua!

3. Yule HR Manager wa Company la zamani,tulikua nae pia msibani anapika msosi wa msibani! Hii Ina maana gani mkuu wa idara ya mitishamba??

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Takurudia
 
Nakumbuka Ruge alisema KTMA ni tuzo walianzisha watu watatu lakini waliamua kumuachia James sababu hawakutaka hiyo spotlight,

Sijui lina ukweli kiasi gani labda wakongwe mseme, maana wengine hizo 1990's tulikuwa tunakunywa uji wa ulezi [emoji16][emoji16]
James ndio alikuja na hiyo idea ruge aliongopa hapo. Ila wao walisaidia kuisimamia. Kuna wakati mke wake pia aliisimamia yule mchaga
 
Back
Top Bottom