Hahahahahahahahah Colombia squad is much balance compare to Argentina kwa sasa hahahahahahahahahUkifuatilia last records utaona kuwa colombia hana record nzuri kwa Albiceleste
View attachment 1128070
Martinez kishatia kitu nyavuni. Colombia 1.Argentina 0.
Zapata keshaharibu siku tayari!!..
Colombia 2,Argentina 0.Wakuu nawasoma kwa karibu kufuatilia hii mechi. Nipo kitaa hivyo nawafuatilia nyinyi ili kujua matokeo.
Argentina wabovu sana kwenye beki,sasa wasubiri kumfunga Paraguay na Qatar.CARLOS QUEIROZ uliogopa nini kumuanzisha ZAPATA kwa timu yenye beki mbovu kama chujio
Nikizaa mwanangu nitamwita Ospina. LEO KAFANYA KAZI YA KUFICHA FAULO KARIBU ZOTE ALIZOPIGA MESSI.
Leo kafanya kazi kubwa sana. Messi kwa ufundi wake wa kupiga faulo,nyingi zimeishia mikononi mwa Ospina. Ila Messi ana gundu na team ya taifa.Ospina ni kipa mzuri sana nawashangaa sana Arsenal kumtoa kwa mkopo na kubaki na kipa mbovu.
Leo kafanya kazi kubwa sana. Messi kwa ufundi wake wa kupiga faulo,nyingi zimeishia mikononi mwa Ospina. Ila Messi ana gundu na team ya taifa.
Kule Barça kazungukwa na wachezaji wazuri. Ronaldo ana mchango mkubwa sana kwa team yake ya Taifa.That’s why IMO he is not a GOAT 🐐
MKule Barça kazungukwa na wachezaji wazuri. Ronaldo ana mchango mkubwa sana kwa team yake ya Taifa.
Leo kafanya kazi kubwa sana. Messi kwa ufundi wake wa kupiga faulo,nyingi zimeishia mikononi mwa Ospina. Ila Messi ana gundu na team ya taifa.
Kweli kapititisha 2 bilaArgentina kapangiwa matim makubwa, lakini naamini atapita tu.
Kweli kapititisha 2 bila