Copa America 2019 - Brazil

Copa America 2019 - Brazil

Ratiba ya Leo:

Paraguay Vs Qatar saa 4 Usiku

Chile Vs Japan saa 7 usiku

Wapenda mpira, sahau kuhusu Afcon kwanza mpira mwingi unapigwa huku Copa America, japo changamoto kwa tulio wengi ni suala la muda.
 
Back
Top Bottom