Copa America 2019 - Brazil

Copa America 2019 - Brazil

Kazi imeanza Argentina treni ishachanganya Tunampiga Venezuela tukitoka hapo tunahamia kwa Brazil hyo nusu halafu fainal mtuletee yeyote yule ni nyama yetu

Labda Messi akiwa na Barcelona ije kucheza na Brasil
 
Tunawaletea taifa stars tuone kama kina mwantika watawaacha?
Kazi imeanza Argentina treni ishachanganya Tunampiga Venezuela tukitoka hapo tunahamia kwa Brazil hyo nusu halafu fainal mtuletee yeyote yule ni nyama yetu
 
Argentina anamsulubu mtu huko, afu watakuja watu watasema amemfubga kibonde[emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787]

IMG_5407.JPG
 
Back
Top Bottom