Copa America 2021 Final: Argentina Vs Brazil

Hahahahaha Waargentina wangapi walistahili red card!? Nilimuonea huruma sana Neymar alipoanza kulia kama mtoto. Ana mapenzi makubwa sana na nchi yake.

Hata mimi pia nilimuonea huruma sana kamanda, na pia anauchungu kwa timu yake....kitu ambacho pia kimenifurahisha zaidi kwa neymar, ni moja ya wachezaji wa kibrazili mwenye mapenzi makubwa sana kwa Messi na hata kwa other players wa kiargentina....tofauti na wenzie, na hata waliopita hawakuwa hivyo labda Gaucho.
 
Neymar kwa Messi ni kama Mentor wake anamkubal sana hata leo kasema kua ndo mchezaj bora kbs yy kuwah kumshuhudia akisakata kabumbu...unaona baada ya game walienda kwny turnel na wakaanza piga stry na kucheka tu.
#WATU WA CR7 MTUSAMEHE MCHEZAJ WENU NDO ATAKUA ANABEBA NAMBA YA BALLON D'OR ZETU MGONGON KWAKE MUOMBE TUBEBE YA 8 TU.
 
Hahaaaa, hapa tunasubiri tu akabidhiwe rasmi ballon d'ore yake 😀😀
 
Wale wanangu wa Argentina tukutane kidimbwi beach badae tukiwashe kuna heineken bucket 5 free kama upo maeneo ya mbezi beach au bagamoyo road itapendeza sana. [emoji91][emoji91]
Mkoan mtutumie jmn,hata kama makato ya m pesaa yapo juu tutajiongeza
 
Screenshot_20210712-174237_Instagram.jpg
 
Argentina

Argentina and Uruguay have the most championships in the tournament's history, with 15 cups each. Argentina, which hosted the inaugural edition in 1916, has hosted the tournament the most times (nine).

Argentina na Uruguay wanaongoza kutwaa makombe mengi zaidi wakiwa na makombe 15 kwa kila timu

Argentina 15 cups
Uruguay 15 cups
 
Wale wanangu wa Argentina tukutane kidimbwi beach badae tukiwashe kuna heineken bucket 5 free kama upo maeneo ya mbezi beach au bagamoyo road itapendeza sana. [emoji91][emoji91]
Umenikumbusha siku hiyo jinsi nilivyolipuka kwa furaha baada ya refa kupuliza filimbi ya mwisho na wachezaji wote wa Argentina kwenda kumkumbatia Messi.

Nakumbuka usiku huo niliagiza Heineken kumi kwa wakati mmoja nikanywe kidogo tu sababu ya furaha, zingine ikabidi nimwachie muhudumu anajua mwenyewe alizipeleka wapi.
 
Back
Top Bottom