BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
Hahahahaha Waargentina wangapi walistahili red card!? Nilimuonea huruma sana Neymar alipoanza kulia kama mtoto. Ana mapenzi makubwa sana na nchi yake.
Neymar kwa Messi ni kama Mentor wake anamkubal sana hata leo kasema kua ndo mchezaj bora kbs yy kuwah kumshuhudia akisakata kabumbu...unaona baada ya game walienda kwny turnel na wakaanza piga stry na kucheka tu.Hata mimi pia nilimuonea huruma sana kamanda, na pia anauchungu kwa timu yake....kitu ambacho pia kimenifurahisha zaidi kwa neymar, ni moja ya wachezaji wa kibrazili mwenye mapenzi makubwa sana kwa Messi na hata kwa other players wa kiargentina....tofauti na wenzie, na hata waliopita hawakuwa hivyo labda Gaucho.
Neymar kwa Messi ni kama Mentor wake anamkubal sana hata leo kasema kua ndo mchezaj bora kbs yy kuwah kumshuhudia akisakata kabumbu...unaona baada ya game walienda kwny turnel na wakaanza piga stry na kucheka tu.
#WATU WA CR7 MTUSAMEHE MCHEZAJ WENU NDO ATAKUA ANABEBA NAMBA YA BALLON D'OR ZETU MGONGON KWAKE MUOMBE TUBEBE YA 8 TU.
Hakika mkuu ni swala la mda tu sasa.Hahaaaa, hapa tunasubiri tu akabidhiwe rasmi ballon d'ore yake [emoji3][emoji3]
Mkoan mtutumie jmn,hata kama makato ya m pesaa yapo juu tutajiongezaWale wanangu wa Argentina tukutane kidimbwi beach badae tukiwashe kuna heineken bucket 5 free kama upo maeneo ya mbezi beach au bagamoyo road itapendeza sana. [emoji91][emoji91]
Hakika mkuu,mwambaa namuelewa sanaa,yaan usiku wa juz nlikuwa na furaha sanaaaTeam Messi tulisubiri sana muda wetu umetimia
Bravo
Umenikumbusha siku hiyo jinsi nilivyolipuka kwa furaha baada ya refa kupuliza filimbi ya mwisho na wachezaji wote wa Argentina kwenda kumkumbatia Messi.Wale wanangu wa Argentina tukutane kidimbwi beach badae tukiwashe kuna heineken bucket 5 free kama upo maeneo ya mbezi beach au bagamoyo road itapendeza sana. [emoji91][emoji91]
Hii fainali ya leo/kesho alfajiri sina pressure nayo kabisa tofauti na ile ya 2021Leo tena