Copa America 2024 in USA

Copa America 2024 in USA

Mpalakugenda

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2015
Posts
4,611
Reaction score
5,009
Copa America inaanza tarehe 20 June na kutamatika July 14.

Moja ya mashindano kongwe kabisa yakianza 1916

Mataifa 16 yatakiwasha kumpata mbabe kwa mwaka huu wa 2024.

argentina na Uruguay ndiyo nchi zilizobeba ubingwa huu mara nyingi zaidi, 15 kwa kila mmoja

Brazil wao wakibeba mara 9 tu.
Mechi zitapigwa katika viwanja 14 miji tofauti ndani ya USA.

Mechi ya ufunguzi ikianza kati ya Argentina dhidi ya Canada saa 9 usiku/ ukwiri😀

Muda wa mechi nyingi utakuwa ni saa 7 usiku na saa 10 usiku/alfajiri/ukwiri.

Yaan ni mechi ya mida ya wanga ila tutapeana yatakayojiri.

IMG_1495.jpeg
IMG_1493.jpeg
IMG_1494.jpeg

1721030652140.png
 
Back
Top Bottom