Copa America 2024 in USA

Copa America 2024 in USA

Mwanzo mzuri kwa mabingwa watetezi.
 

Attachments

  • IMG_1496.jpeg
    IMG_1496.jpeg
    168.9 KB · Views: 5
Ecuador 0-0 Venezuela dk ni ya 8 sasa.

Wazee mpira huko amerika ya kusini hawa watoto wa Ecuador akina Sermiento,Franco wakiongozwa na kaka yao Valencia wanakipiga sio poa.
 
Back
Top Bottom